Kokaku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza lt:Imperatorius Kokaku
Minor fix using AWB
Mstari 1:
'''Kokaku''' ([[23 Septemba]], [[1771]] – [[11 Desemba]], [[1840]]) alikuwa mfalme mkuu wa 119 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Morohito''. Mwaka wa [[1780]] alimfuata mfalme mkuu [[Go-Momozono]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe [[7 Mei]], [[1817]]. Aliyemfuata ni mwana wake, [[Ninko]].
 
{{mbeguMbegu-Kaizari-Japani}}
 
{{DEFAULTSORT:Kokaku}}