Louis Leipoldt : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Robot: Formatting ISBN
Minor fix using AWB
Mstari 1:
'''Dr. Christian Frederik Louis Leipoldt''' ([[28 Desemba]], [[1880]] - [[12 Aprili]], [[1947]]) alikuwa mwandishi, daktari na mkaguzi wa shule kutoka [[Afrika Kusini]]. Aliandika mashairi mengi ya [[Kiafrikaans]] pamoja na maandishi ya habari na kuhusu tiba.
 
==Maandishi yake==
* ''Oom Gert Vertel en Ander Gedigte'' (1911; "Mjomba Gert Husimulia na Mashairi Mengine")
* ''Bushveld Doctor'' (1937; tawasifu)
* ''The Ballad of Dick King and Other Poems'' (1949)
* ''Stormwrack'' (1980; imetolewa baada ya kifo chake)
 
== Angalia pia ==
* [[Orodha ya Waandishi wa Afrika Kusini]]
 
==Marejeo==
* Chapman, Michael. 2003. ''Southern African Literatures'', University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
 
{{mbeguMbegu-mtu}}
 
{{DEFAULTSORT:Leipoldt, Louis}}