Louis Neel : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (Robot: Modifying fa:لوییس نیل to fa:لوئی نل
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Louis Eugene Felix Néel''' ([[22 Novemba]], [[1904]] – [[17 Novemba]], [[2000]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Ufaransa]]. Hasa alichunguza sifa za [[usumaku]]. Mwaka wa 1970, pamoja na [[Hannes Alfven]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''.
 
{{mbeguMbegu-mwanasayansi}}
 
{{DEFAULTSORT:Neel, Louis}}