Ludwig Erhard : Tofauti kati ya masahihisho

4 bytes removed ,  miaka 9 iliyopita
Minor fix using AWB
(Minor fix using AWB)
[[Picha:Ludwig Erhard 1965 FdG 2.jpg|thumbnail|right|350px|Picha ya {{PAGENAME}}]]
'''Ludwig Wilhelm Erhard''' (* [[4 Februari]], [[1897]] mjini [[Fürth]]; † [[5 Mei]], [[1977]] mjini [[Bonn]]) alikuwa [[siasa|mwanasiasa]] kutoka nchini [[Ujerumani]].
 
== Maisha ==
 
=== Maisha ya baadaye ===
Baada ya hapo, akajiendeleza zaidi kusomea masuala ya uchumi katika [[Frankfurt am Main|Chuo Kikuu cha Frankfurt am Main]]. Baada ya kumaliza masomo yake, akawa anafanya kazi katika kampuni ya baba yake. Baada ya [[Mdororo Mkuu]], kampuni ya baba yake ikafirisika.
 
Kuanzia [[1928]] hadi [[1942]], alikuwa akifanya kazi kama mwanasayansi msaidizi, lakini hakupata changamoto kwa kuwa alikuwa hataki kuwa mmoja kati ya wanajumuia ya Wanazi. Kuanzia [[1942]] hadi [[1945]], alikuwa Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Viwanda.
== Marejeo ==
* '''(de)''' Hentschel, Volker (1996) Ludwig Erhard: Ein Politikerleben. Berlin: Ullstein. ISBN 3-548-26536-7
* '''(en)''' Mierzejewski, Alfred C. (2004) Ludwig Erhard: a biography. Chapel Hill, London: University of North Carolina Press. ISBN 0-8078-2863-7
 
== Viungo vya nje ==
{{commonsCommons}}
 
{{Kanzler}}
9,527

edits