Marianne Koch : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imebadilisha: ru:Кох, Марианна
Minor fix using AWB
Mstari 3:
| jina = Marianne Koch
| picha = FistfullMarianneKoch.jpg
| maelezo_ya_picha = Koch akiwa na Clint Eastwood katika filamu ya A Fistful of Dollars (1964).
| jina la kuzaliwa = Marianne Koch
| alizaliwa = [[19 Agosti]], [[1931]],<br />[[Ujerumani]]
| kafariki =
| jina lingine =
| kazi yake = Mwigizaji, daktari
| miaka ya kazi = uigizaji 1950-1970<br /> tiba 1974-1997
| ndoa = 1953 - 1973 na Gerhard Freund
| rafiki =
| watoto = wavulana 2
| wazazi =
| mahusiano =
| tovuti =
}}
 
'''Marianne Koch''' (amezaliwa tar. [[19 Agosti]], [[1931]]) ni daktari wa tiba na mwigizaji filamu mstaafu wa [[Ujerumani]], aliyecheza filamu kati ya miaka ya [[1950]] na [[1960]], anafahamika zaidi kwa mwonekano wake katika [[filamu za western]] ya [[Italia]], maarufu kama [[spaghetti westerns]], na filamu za kipelelezi za miaka ya [[1960]].
 
Marianne ameonekana katika zaidi ya filamu 65 kati ya mwaka [[1950]] na [[1970]] zikiwemo na filamu ziliongozwa na [[Sergio Leone]], ambayo ni "A Fistful of Dollars" ya mwaka [[1964]] ambayo ndio picha inayoneka amekaa na [[Clint Eastwood]].
Mstari 24:
1970 alipokuwa na umri wa miaka 39 akaamua kuacha uigizaji filamu akarudi chuo kikuu na kumaliza masomo yake ya tiba. 1974 akapata cheo cha daktari na kuanzisha kliniki yake ya tiba ya ndani mjini [[München]]. Alistaafu 1997. Ana watoto wawili wa kiume.
 
== Viungo vya Nje nje==
* {{imdbIMDb name|id=0462367}}
 
{{Mbegu-mtu}}