Mario Brega : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: pt:Mario Brega
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Mario Brega.jpg|thumb|right|180px|Mario Brega kama mlinzi wa wafungwa "Wallace" katika filamu ya ''the Good, the Bad and the Ugly''.]]
'''Mario Brega''' (aliishi tar. [[5 Machi]], [[1923]], [[Rome]] - [[23 Julai]], [[1994]]) alikuwa mwigizaji wa [[Italia|kiitaliano]]. Brega, kiumbo anaonekana kuwa na mwili mkubwa, kitu ambacho kinaashilia kuwa yeye ni mjambazi, kama ilivyokuwa katika filamu zake za awali za kutoka [[Spaghetti Westerns|western]].
 
Brega akisimama anavuka urefu wa futi sita, japokuwa vipimo vyake vimebaki kuwa havieleweki ni vingapi, ila tu, unaweza kuchukulia urefu wake kuwa unafanana na ule wa [[Clint Eastwood]] wa miaka ya 1960.
Mstari 16:
* [[Spaghetti Western|Orodha ya waigizaji na waongozaji wa spaghetti western]].
 
==Viungo vya Njenje==
* {{imdbIMDb|0103828}}
 
{{mbeguMbegu-igiza-filamu}}
 
{{DEFAULTSORT:Brega, Mario}}