Marlene Dietrich : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imeongeza bxr:Дитрих, Марлен
Minor fix using AWB
Mstari 8:
| tarehe ya kufa = {{death date and age|1992|05|06|1901|12|27|df=y}}
| mahala alipofia = [[Paris]], [[Ufaransa]]
| jina lingine =
| kazi yake = [[Mwigizaji]]<br />[[Mwimbaji]]
| miaka ya kazi = 1919-1984
| ndoa = Rudolf Sieber <br /><small>(m.1923-1976; his death)</small>
| watoto = [[Maria Riva]], <small>born {{birth date and age|1924|12|13|df=y}}</small>
| mahusiano ya kimapenzi =
| tovuti = http://www.marlene.com/
}}
 
'''Marlene Dietrich''' ([[27 Desemba]], [[1901]] – [[6 Mei]], [[1992]]) alikuwa mwigizaji filamu, mwimbaji na mburudishaji wa [[Ujerumani|Kijerumani]]. Anafikiriwa kuwa kama msanii wa kwanza wa Kijerumani kupata mafanikio makubwa kabisa katika [[Hollywood]].
 
Katika msafara wake wa usanii, alianza kama mwimbaji wa kawaida na mwitikiaji katika nyimbo na mwigizaji huko mjini Berlin kunako miaka ya 1920 na vilevile katika filamu za Hollywood mnamo miaka ya 1930.
 
Alicheza filamu nyingi na mwishowe akaja kuwa mburudishaji wa kimataifa kati ya 1950 na 1970. Dietrich pia amekuwa kama mmoja wa waigizaji filamu muhimu sana wa karne ya 20. [[Marekani|Taasisi ya filamu ya Marekani]] imempa cheo cha 9 kuwa kama mwigizaji bora filamu wa kike kwa muda wote (miaka mia moja).
 
== Filamu alizoigiza ==
* Im Schatten des Glücks (1919)
* Love Tragedy (1923)
* The Little Napoleon (1923)
* Man by the Wayside (1923)
* Leap Into Life (1924)
* Dance Mad (1925)
* The Bogus Baron (1926)
* Manon Lescaut (1926)
* Madame Doesn't Want Children (1926)
* A Modern DuBarry (1927)
* Chin Up, Charley! (1927)
* His Greatest Bluff (1927)
* Cafe Electric (1927)
* Princess Olala (1928)
* Dangers of the Engagement Period (1929)
* I Kiss Your Hand Madame (1929)
* The Woman One Longs For (1929)
* The Ship of Lost Men (1929)
* The Blue Angel (1930)
* Morocco (1930)
* Dishonored (1931)
* Shanghai Express (1932)
* Blonde Venus (1932)
* The Song of Songs (1933)
* The Scarlet Empress (1934)
* The Fashion Side of Hollywood (1935) (short subject)
* The Devil is a Woman (1935)
* I Loved a Soldier (1936) (unfinished)
* Desire (1936)
* The Garden of Allah (1936)
* Knight Without Armour (1937)
* Angel (1937)
* Destry Rides Again (1939)
* Seven Sinners (1940)
* The Flame of New Orleans (1941)
* Manpower (1941)
* The Lady Is Willing (1942)
* The Spoilers (1942)
* Pittsburgh (1942)
* Show Business at War (1943) (short subject)
* Follow the Boys (1944)
* Kismet (1944)
* Martin Roumagnac (1946)
* Golden Earrings (1947)
* A Foreign Affair (1948)
* Jigsaw (1949) (cameo)
* Stage Fright (1950)
* No Highway in the Sky (1951)
* Rancho Notorious (1952)
* The Monte Carlo Story (1956)
* Around the World in Eighty Days (1956) (cameo)
* Witness for the Prosecution (1957)
* Touch of Evil (1958)
* Judgment at Nuremberg (1961)
* Black Fox: The True Story of Adolf Hitler (1962) (documentary) (narrator)
* Paris, When It Sizzles (1964) (cameo)
* An Evening With Marlene Dietrich (I Wish You Love) (1972) London concert film
* Just a Gigolo (1979)
* Marlene (1984) (documentary
 
== Viungo vya nje ==
{{Commons}}
Line 87 ⟶ 89:
* [http://www.marlenedietrich.org.uk/ Marlene Dietrich UK Website The Legendary, Lovely Marlene]
* {{ibdb name |id=38065|name=Marlene Dietrich}}
* {{imdbIMDb name|id=0000017|name=Marlene Dietrich}}
* {{tcmdb name|id=50375|name=Marlene Dietrich}}
* {{nndb name|id=720/000031627|name=Marlene Dietrich}}