Mazisi Kunene : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.5) (roboti Nyongeza: eu:Mazisi Kunene
Minor fix using AWB
Mstari 1:
'''Mazisi (Raymond) Kunene''' ([[12 Mei]], [[1930]] - [[11 Agosti]], [[2006]]) alikuwa mwandishi wa [[Afrika Kusini]]. Hasa anajulikana kwa shairi lake kuhusu [[Shaka Zulu]]. Wakati wa sera za ubaguzi wa rangi nchini kwake alikaa ng'ambo, hasa [[Uingereza]] na [[Marekani]] ambapo alifundisha katika vyuo vikuu. Baada ya kurudi nyumbani mwaka wa 1992 akateuliwa na [[UNESCO]] kuwa mshairi mkuu wa Afrika. Alipatwa na kansa na kufariki mwaka wa 2006.
 
==Maandishi yake==
* ''Emperor Shaka the Great'' (1979)
 
== Angalia pia ==
* [[Orodha ya Waandishi wa Afrika Kusini]]
 
==Marejeo==
* Chapman, Michael. 2003. ''Southern African Literatures'', University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
 
{{mbeguMbegu-mtu}}
 
{{DEFAULTSORT:Kunene, Mazisi}}