Melvin Schwartz : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza mn:Мэлвин Шварц
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
'''Melvin Schwartz''' ([[2 Novemba]], [[1932]] - [[28 Agosti]], [[2006]]) alikuwa mwanafizikia Mwamerika. Mwaka [[1988]] alipokea '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia''' pamoja na [[Leon Max Lederman]] na [[Jack Steinberger]] kwa mafanikio yao ya kugundua mbinu za kushughulika ma[[neutrino]] ambazo ni chembe ndogo sana ya kinyuklia isiyo na chaji na haipasuliki.
 
Alikuwa mtoto wa mji wa New York akasoma [[Bronx High School of Science]] na [[chuo kikuu]] cha [[Columbia University]] alipokuwa mwanafunzi wa mshindi wa Tuzo Nobel [[Isidor I. Rabi]] na profesa msaidizi tangu 1958.
 
[[1966]] alihamia [[Chuo Kikuu cha Stanford]] alipokuta machine mpya ya kuharakisha mwendo wa chembe za kinyuklia iliyomsaidia kuendeleza utafiti wake.
 
[[1991]] akawa mkurugenzi msaidizi wa idara ya fizikia ya kinyuklia kwenye taasisi ya ''[[Brookhaven National Laboratory]]'' (yaani Maabara ya Kitaifa kule Brookhaven, Marekani) alipowahi kutekeleza majaribio yake yaliyompatia tuzo ya Nobel baadaye. Wakati ule akawa pia profesa kamili huko Columbia.
 
Alistaafu mwaka 2000.
 
 
== Viungo vya Nje ==
Line 15 ⟶ 14:
* [http://nobelprize.org/physics/laureates/1988/schwartz-autobio.html Nobel autobiography]
 
{{mbeguMbegu-mwanasayansi}}
{{DEFAULTSORT:Schwartz, Melvin}}