Mia Kirshner : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza bg:Миа Киршнър
Minor fix using AWB
Mstari 2:
| picha = Mia Kirshner red lighted cropped.jpg
| maelezo ya picha = 200px
| jina la kuzaliwa = Mia Kirshner
| tarehe ya kuzaliwa = {{birth date and age|1975|01|25|df=yes}}
| mahala pa kuliwa = [[Toronto, Ontario]]
Mstari 10:
| ndoa =
}}
'''Mia Kirshner''' (amezaliwa tar. [[25 Januari]], [[1975]]) ni [[mwigizaji]] wa [[Kanada|Kikanada]], anayejulikana sana kwa kucheza filamu na vipindi vya mifululizo ya [[televisheni]].
 
Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Jenny Schecter katika kipindi cha ''[[The L Word]]'', mfululizo unaohusu maisha ya kikundi cha [[msagaji|wasagaji]] wanaoishi [[Hollywood|Magharibi mwa Hollywood]].
 
Pia, alipata kucheza katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama [[24 (mfululizo wa TV)|24]]. Humo alicheza kama gaidi na alitumia jina la [[Mandy]].
 
==Viungo vya Nje==
* {{imdbIMDb name|0000477|Mia Kirshner}}
 
{{mbeguMbegu-mtu}}
 
{{DEFAULTSORT:Kirshner, Mia}}