Mikono Yenye Vipawa: Hadithi Ya Ben Carson : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Minor fix using AWB
Mstari 1:
{{mergefromMerge from|Gifted Hands, The Ben Carson Story|Jully 2010}}
 
[[picha:mikono.jpg|right|full|thumb|200px|Filamu kuhusu [[Ben Carson]]]]
 
'''''Mikono Yenye Vipawa: Hadithi Ya Ben Carson''''' ni filamu ya mwaka wa 2009 iliyoandaliwa na [[Thomas Carter]] na kuigizwa na [[Cuba Gooding Jr]] na [[Kimberly Elise]]. Inazingatia hadithi ya maisha ya daktari maarufu wa upasuaji, Ben Carson, kati ya miaka ya 1961 na 1987. Filamu yenyewe imeandaliwa na Johnson na Johnson Spotlight Presentation na ilionyeshwa kwenye stesheni ya TNT tarehe Jumamosi [[7 Februari]], [[2009]]. Jina la filamu hii ilikuwa imetumika hapo awali 1992 kwa filamu fupi kuhusu Ben Carson iliyotolewa na Zondervan,ingawaje filamu hizi ni tofauti.
 
 
 
== Hadithi Yenyewe ==
 
[[Ben Carson]], [[Cuba Gooding]], anaanza maisha akiwa katika hali ya taabu nyingi: yeye akiwa mtoto wa asili ya Kiafrika huko Marekani,hana baba na masomo yamemshinda shuleni.Inaanza akiwa akila vyakula kama vibanzi akitazama runinga na anahitaji miwani. Mama yake aliyeacha shule akiwa daraja la tatu,anaanza kufanya maamuzi kwa aljili yake kwa kuwa anaona mienendo yake Ben ni mbovu. Wana wake wawili,Ben na Curtis, walipohitaji kujua hesabu ya kuzidisha aliwafanya waape kuwa watasoma yeye akiwa ameenda ukaguzi katika taasisi ya waliorukwa na akili.
 
Line 22 ⟶ 19:
 
Ben Carson anaigwa kama daktari wa upasuaji mwenye kipaji na hivyo basi kuipa kitabu chake na filamu,Mikono Yenye Vipawa(yaani Gifted Hands).
 
 
 
 
== Waigizaji ==
 
{| class="wikitable"
|-
Line 54 ⟶ 47:
| Ben Carson akiwa mtoto
|}
 
 
 
== Ilivyopokewa ==
 
Wakosoaji wameipa filamu hii jumla ya kitaalam wa 63/100 katika tovuti ya Metacritic.com. The Orlando Sentinel inasema, "Filamu hii ni bora kwa nchi iliyopewa changamoto na rais wake mpya kufanya vizuri."
 
 
 
 
== Viungo vya nje ==
 
*[http://www.tnt.tv/stories/story/?oid=44656 Turner Broadcasting System, Mikono Yenye Vipawa: Stori Ya Ben Carson.]
*[http://www.baltimoresun.com/entertainment/tv/bal-li.arts05feb05,0,5372982.story Zurawik, Daudi. 5 Februari 2009, Baltimore Sun, Ben Carson, Cuba Gooding Jr wanazungumzia kuhusu 'Gifted Hands'.]