Molière : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza als:Molière
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Moliere2.jpg|thumb|right|Molière]]
'''Molière''' ilikuwa jina la kisanii la '''Jean-Baptiste Poquelin''' ([[15 Februari]], [[1622]] - [[17 Februari]], [[1673]]) aliyekuwa mwandishi mashuhuri nchini [[Ufaransa]]. Alikuwa maarufu kama mwigizaji na mwandishi wa tamthiliya.
 
Alizaliwa mjini Paris kama mtoto wa mfanyabiashara wa vitambaa. Mama alikufa mapema akalelewa na bibi yake akakaa muda mwingi kwenye shule ya [[Wajesuiti]] alipopata elimu nzuri. Pamoja na bibi yake alitembelea maigizo ya tamthiliya akawa mpenzi wa tamthiliya. Alipofikia umri wa miaka 21 alianzisha kampuni ya tamthiliya iliyoshindwa kiuchumi lakini akaendelea kuwa mwigizaji akazunguka kote Ufaransa akijulikana kwa jina la kisanii Moliere.
 
Tangu 1655 alitunga tamthiliya alizoonyesha na kundi lake la waigizaji. Mwaka 1658 mfalme kijana [[Louis XIV]] aliona maaigizo yake akampenda akamwita kuendelea kwenye makao makuu ya mfalme.
 
Katika miaka iliyofuata sifa za Moliere zikaongezeka; watu wengine hasa viongozi wa kanisa katoliki walichukia tamthiliya zake lakini mfalme alisimama upande wake na Moliere alizidi kufaulu na kuwa maarufu.
Mstari 11:
 
== Viungo vya Nje ==
{{commonsCommons}}
* [http://www.toutmoliere.net Molière's works online] at toutmoliere.net (Kifaransa)
* [http://www.site-moliere.com/pieces/ Molière's works online] at site-moliere.com
Mstari 18:
* [http://www.biblioweb.org/-MOLIERE-.html Biography, Bibliography, Analysis, Plot overview] at biblioweb.org (in French)
* [http://www.theatre-classique.fr Moliere's Verses Plays] Publication, Statistics, Words Research (in French)
* [http://www.youtube.com/watch?v=NbGqsquB0Bw Professional quality parody - "The Life & Times of Moliere"] at YouTube.com
 
{{mbeguMbegu-mwandishi}}
{{BD|1622|1673|}}
<!-- interwiki -->