Moshi William : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
{{defaultsort}}, +jamii
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Image:Moshi William.jpg|thumb|300px|Mwanamuziki Moshi William wakati wa uhai wake. Picha kwa hisani ya [http://issamichuzi.blogspot.com/ Muhiddin Issa Michuzi]. ]]
 
'''TX Moshi William''', jina halisi Shaban Ally Mhoja Kishiwa, ni mmoja wa wanamuziki mahiri wa [[muziki wa dansi]] nchini [[Tanzania]]. Alizaliwa [[Tanga]] mwaka [[1958]] na kufariki dunia [[Machi 29 Machi]], [[2006]] na kuacha mke mmoja na watoto wanne na aliweza kurekodi albamu 13. Kwa miaka mitatu mfululizo, Moshi William alitunukiwa tuzo ya kitaifa ya utunzi bora (2003, 2004, 2005.)
 
Moshi William alijiunga na bendi kongwe nchini Tanzania [[OTTU Jazz Band]] mwaka 1982.