Mzungu Kichaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza fi:Mzungu Kichaa
Minor fix using AWB
Mstari 2:
| Jina = Mzungu Kichaa
| Img = Mzungu Kichaa.jpg
| Img_capt =
| Img_size =
| Landscape =
| Background = solo_singer
| Jina la kuzaliwa = Espen Sørensen
| Pia anajulikana kama = Kichaa Espen
| Amezaliwa =
| Amekufa =
| Asili yake = [[Denmark]]
| Ala =
| Aina ya sauti =
| Aina = Hip hop
| Kazi yake = Mwimbaji/Mwanamuziki
Mstari 18:
| Studio = [[Bongo Records]]
| Ameshirikiana na = [[Solo Thang]]<br>[[Juma Nature]]<br>[[Professor Jay]]
| Tovuti =
| Ala zinazojulikana =
}}
'''Mzungu Kichaa''' (pia anajulikana kama '''Espen Sørensen''') ni mwimbaji na vilevile mwanamuziki kutoka nchini [[Denmark]]. Alizaliwa nchinin Denmark, lakini kakulia nchini [[Tanzania]], ambapo wazazi wake walikuwa wakifanya kazi katika masuala ya Maendeleo ya Ushirika. Walienda nchini Tanzania akiwa na umri wa miaka sita.
 
Huko Tanzania amejifunza Kiswahili fasaha na baadaye kujihusisha na masuala ya muziki hasa katika utayarishaji wa muziki wa [[Bongo Flava]] katika studio ya [[Bongo Records]]. Matokeo ya hivi karibuni katika kujihusisha kwake na muziki huko Afrika ya Mashariki ni albamu yake ya kwanza ya kujitegemea iliyokwenda kwa jina la "Tuko Pamoja".
Mstari 28:
Mwishoni mwa miaka ya 1990 Espen Sørensen alikuwa miongoni mwa wasanii wa mwanzo kabisa kurekodi katika Studio ya Bongo Records huko mjini [[Dar Es Salaam]]. Wengineo walikuwepo kina [[Juma Nature]], [[TID]], [[Mangwair]], [[Ferooz]] na [[Professor Jay]]. Wakati huo ilikuwa pia, ndipo alipopata jina lake la kisanii la Mzungu Kichaa.<ref name="eastandard.net">[http://www.standardmedia.co.ke/archives/InsidePage.php?id=1144006484&cid=123 Mzungu Kichaa: Danish with love for African music</ref> Kwa bahati mbaya hakuonekana katika orodha ya wasanii chipukizi wa Tanzania kwa kipindi hicho, lakini pia alifanikiwa kufanya viitikio kadha wa kadha katika nyimbo kibao kwa kipindi cha mwaka wa 2001.<ref>[http://www.africanhiphop.com/musicvideos/mzungu-kichaa Mzungu Kichaa]</ref>
 
Baadaye akaenda zake nchini Uingereza kusomea masuala ya Utamaduni wa Muziki na Anthropolojia. Baada ya kumaliza elimu ya masomo ya Kiafrika, akarudi tena katika shughuli zake za muziki, na kuanzisha kundi lililoitwa Effigong mnamo 2006. Mwaka wa 2008, kaamua kuwa msanii wa kujitegemea hadi kufanikiwa kutoa albamu yake ya kwanza kunako mwaka wa 2009 katika studio ya kujitegemea iliyoitwa [[Caravan Records]].<ref name="Biography">[http://www.myspace.com/mzungukichaa Biography<!-- Bot generated title -->]</ref>
 
Albamu ilitolewa kwa mara ya kwanza Afrika Mashariki, lakini baada ya kupata kupigwa sana katika baadhi ya vituo vya maredio kadhaa nchi za Ulaya, basi ikapelekea albamu pia kutolewa Ulaya mnamo mwezi Mei 2009. Baadhi ya nyimbo kutoka katika albamu ni pamoja na "Jitolee" (akiwa na Professor Jay) na "Wajanja" ambazo zote zimeimbwa kwa Kiswahilii, lugha ambayo inatumika sana katika Bongo Flava Afrika Mashariki.
 
Mashairi ya nyimbo zake yanalenga hasa matatizo ya kijamii huko nchini Tanzania, hasa umaskini.<ref>[http://www.kongoi.com/index.php/New-releases/Mzungu-Kichaa.html Mzungu Kichaa. Tuko Pamoja - Debut Album]<!-- Bot generated title --></ref> Sørensen ametumia wiki tatu kufanya ziara ya kuitangaza albamu yake kuanzia mwezi wa Februari 2009, hasa nchini Tanzania na Kenya, lakini pia alipata kutumbuiza nchini Denmark akiwa na msaada wa kundi la [[ReCulture]]. Kibao cha ''Jitolee'' imepata kuwika sana nchini Tanzania na Kenya.<ref>Daily Nation, January 29, Januari 2010: [http://www.nation.co.ke/News/-/1056/852120/-/vpwl27/-/index.html Bongo star’s latest single a big hit ]</ref>
 
== Diskografia ==
* Tuko Pamoja (2009)
 
== Marejeo ==
{{ReflistMarejeo}}
 
==Viungo vya Nje==
* [http://www.africanhiphop.com/musicvideos/mzungu-kichaa African HipHop]
* [http://www.kongoi.com/index.php/New-releases/Mzungu-Kichaa.html Kongoi]
* [http://allafrica.com/stories/200901261366.html Mzungu Kichaa to Launch Debut Album]
* [http://insideworldmusic.blogspot.com/2009/09/cd-review-mzungu-kichaa-from-denmark.html Inside World Music - CD-Review]