Nas : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza uk:Nas
Minor fix using AWB
Mstari 1:
| Jina = Nas
| Img = NasirJones.png
| Img_capt = Nas performing in concert, 2007
| Img_size =
| Landscape =
| Background = solo_singer
| Jina la kuzaliwa = Nasir Jones
| Pia anajulikana kama = Nasty Nas
| Amezaliwa = {{birth date and age|1973|9|14|df=yes}}
| Amekufa =
| Asili yake = [[Queensbridge, Queens|Queensbridge]], [[New York City]], [[New York]], [[Marekani]]
| Ala = Sauti
| Aina ya sauti =
| Aina = [[hip hop music|Hip hop]]
| Kazi yake = [[Rapa]]
[[Mtunzi wa Nyimbo]]
[[Mtayarishaji wa rekodi]]
[[Mwigizaji]]
Mstari 18:
| Studio = [[Ill Will Records|Ill Will]]/[[Columbia Records|Columbia]]
[[The Jones Experience]]/[[Def Jam Recordings|Def Jam]]
| Ameshirikiana na = [[Weside Connection]]
[[AZ]]
[[Bravehearts]]
[[Nashawn]]
[[Kelis]]
[[Foxy Brown]]
[[Chrisette Michele]]
[[Nature]]
[[Jay-Z]]
[[Kanye West]]
[[The Game]]
[[Rakim]]
[[Busta Rhymes]]
[[Salaam Remi]]
[[L.E.S.]]
[[Large Professor]],
[[DJ Premier]]
[[Dr. Dre]]
[[Lauryn Hill]]
| Tovuti = [http://nas.defjam.com/ Nas.Defjam.com]
'''Nasir Jones''' (amezaliwa tar. [[14 Septemba]], [[1973]]) ni mwanamuziki wa rap na mwigizaji kutoka nchini [[Marekani]]. Anafahamika zaidi kwa jina lake kisanii kama '''Nas'''. Zamani alikuwa akijiita '''Nasty Nas'''. Nas ni mtoto wa mwanamuziki wa jazz wa zamani Mzee [[Olu Dara]]. Alizaliwa na kukulia katika nyumba za miradi za mjini (nyumba za watu wenye kipato cha chini) [[New York|Queensbridge, New York]].
Nas alisaini mkataba na studio ya [[Columbia Records]] mnamo mwaka wa [[1994]], na kutoa albamu yake ya kwanza ya [[Illmatic]]. Albamu ya Illmatic ilipata kuwa bora na kufahamika zaidi na mauzo bora.
Baadaye albamu kadhaa za Nas zilifuata. Albamu hizo ni pamoja na [[It Was Written]] ya 1996, [[I Am... and Nastradamus]] ya 1999, na [[Stillmatic]] ya 2001. Nas alikuwa mmoja kati ya wanakundi la muziki wa rapna hip hop - [[The Firm]], ambalo limejumlisha wasanii wengine kama vile [[AZ]], [[Foxy Brown]], na [[Nature]]. Ingawa, kundi halikufanya kazi nyingi na badal yake wakatoa albamu moja tu ya pamoja.
Kuanzia mwaka 2001 hadi`2005, Nas aliusishwa katika ugomvi mkubwa na rapa mwenziwe Bw. [[Jay-Z]]. Marapa wote walikuwa wakishambuliana kwa kutumia nyimbo zao.
Wawili hao ugomvi wao ukaja kwisha baada ya kualikwa katika tamsha la muziki la New York City-area hip-hop za vituo vya redio. Nas akasaini mkataba na studio ya Jay-Z maarufu kama [[Def Jam]] mnami mwaka [[2006]].
Albamu yake ya kwanza akiwa kama mmoja wa Def Jam, ilitoka mwaka wa 2006, ikiwa na jina la Hip Hop is Dead, ikiwa imeambatana na albamu nyingine ya mwaka wa 2008, iliyokwenda kwa jina la [[Untitled]].<ref>{{cite web | title = SoundCircuit.com: Artists: Tributes: Nas | url = http://www.soundcircuit.com/artists/tributes/nas.php | accessdate = 2006-09-06}}</ref>
==Muziki==
===Albamu za muziki===
Line 43 ⟶ 44:
* 2006: ''[[Hip Hop Is Dead]]''
* 2008: ''[[Untitled]]''
==Filamu==
{| class="wikitable"
Line 56 ⟶ 58:
|1998 ||''[[Belly]]'' || kacheza kama "Sincere"
==Marejeo==
{{reflistMarejeo}}
==Viungo vya nje==
* [http://nas.defjam.com/ nas.defjam.com]
* {{MySpace|nas}}
* {{imdbIMDb name|id=0621576|name=Nas}}
{{Commons}}