Tofauti kati ya marekesbisho "Nash Aguas"

8 bytes removed ,  miaka 7 iliyopita
Minor fix using AWB
d (usafishaji mdogomdogo, replaced: Watu Walio Hai → Watu walio hai using AWB)
(Minor fix using AWB)
| picha = Nash aguas.jpg
| ukubwa wa picha = 200px
| maelezo =
| kazi yake = [[Mwigizaji]]
| miaka ya kazi = 2004–hadi leo
| tarehe ya kuzaliwa = {{birth date and age|1998|10|10|df=yes}}
| mahala pa kuzaliwa = [[Ufilipino]]
| jina lingine =
| tovuti =
}}
'''Nash Aguas''' (amezaliwa kama '''Aeign Zackrey Aguas''' mnamo tar. [[10 Oktoba]], [[1998]]) ni [[mwigizaji]] wa [[filamu]] na [[televisheni]]-mtoto kutoka nchini [[Ufilipino]]. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama ''Peping'' katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha [[Ufilipino|Kifilipino]] maarufu kama [[Gulong ng Palad]].
 
==Wasifu==
===Shughuli===
Nash alianza kuonekana kwa mara ya kwanza kwenye televisheni, ni baada ya kushiriki katika kinyang'anyiro cha kumtafuta mkali wa [[MTB]] kupitia [[:en:F4|Batang F4]].<ref name="Bulilit">{{cite web | url=http://www.goinbulilit.net/bulilitspotlight-nash.html | title=Nash Aguas | accessdate=2008-06-29 | work=Bulilit Spotlight | publisher=Goin' Bulilit Online}}</ref> Aliingia rasmi katika shughuli za uigizaji ni baada ya kujiunga katika mashindano ya kipinid cha TV cha kutafuta watoto wenye vipaji vya uigizaji cha [[ABS-CBN]] maarufu kama [[Star Circle Quest|Star Circle Kid Quest]], ambamo alijiigiza kama ''[[Mr. Suave]] Mdogo''.<ref name="Bulilit">{{cite web | url=http://www.goinbulilit.net/bulilitspotlight-nash.html | title=Nash Aguas | accessdate=2008-06-29 | work=Bulilit Spotlight | publisher=Goin' Bulilit Online}}]</ref>
 
Alionyesha uwezo na uchangamfu mkubwa na kupelekea kupata kura za ''Bibbo Kid Of The Week'' mara kedekede. Kitendo cha kuwa na uwezo, yaani (kipaji, maarifa, mwonekano, na ucheshi wake), kumemfanya ashinde taji la '''''Grand Kid Questor''''' na pia kuchukua zawadi maalum kibao katika maonyesho ya vipindi.<ref name="Bulilit"/>.
| Happily Ever After
| Leeboy
|
|-
| 2006
 
==Tuzo==
 
* 2006 ''[[Metro Manila Film Festival]]'', '''Mwigizaji Bora wa Kitoto''' kwa kucheza katika ''Shake, Rattle & Roll 8'': ''"Yaya"'' <ref name="Pep 2">{{cite web | url=http://www.pep.ph/guide/1290/Shake,-Rattle-and-Roll-9-frightens-the-public-anew-December-25-/1 | title="Shake, Rattle and Roll 9" frightens the public anew December 25 | accessdate=2008-06-29 | work=Entertainment Guide/Movies | author=Dimaculangan, Jocelyn | publisher=The Philippine Entertainment Portal | date=2008-07-11}}</ref>
 
==Marejeo==
{{marejeoMarejeo}}
 
==Viungo vya Nje==
* {{imdbIMDb name|id=1758562|name=Nash Aguas}}
 
{{DEFAULTSORT:Aguas, Nash}}
9,497

edits