Nebraska : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3rc2) (Roboti: Imeongeza ay:Nebraska suyu
Minor fix using AWB
Mstari 3:
|picha_ya_satelite = Map of USA highlighting Nebraska.png
|maelezo_ya_picha = Mahali pa Nebraska katika [[Marekani]]
|picha_ya_bendera = Flag of Nebraska.svg
|ukubwa_ya_bendera = 100px
|picha_ya_nembo = Seal of Nebraska.svg
Mstari 9:
|settlement_type = [[Majimbo ya Marekani|Jimbo]]
|native_name =
|nickname =
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]]
|subdivision_name = {{flag|Marekani}}
|subdivision_type1 =
|subdivision_name1 =
|subdivision_type2 = [[Mji mkuu]]
|subdivision_name2 = [[Lincoln, Nebraska|Lincoln]]
Mstari 19:
|area_land_km2 = 199099
|area_water_km2 = 1247
|idadi_ya_wakazi_kwa_mwaka_wa =
|population_note =
|wakazi_kwa_ujumla =
|website = http://www.nebraska.gov/
}}
'''Nebraska''' ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au [[Marekani]]. Iko katikati ya Marekani bara ikipakana na majimbo ya [[South Dakota]], [[Iowa]], [[Missouri]], [[Kansas]], [[Colorado]] na [[Wyoming]].
 
Mji mkuu ni [[Lincoln (Nebraska)|Lincoln]] na mji mkubwa jimboni ni [[Omaha (Nebraska)|Omaha]]. Jimbo lina wakazi 1,711,263 (2000) wanaokalia eneo la kilomita za mraba 200,520.
 
Nebraska ni hasa jimbo la kilimo cha mahindi pamoja na ufugaji wa ng'ombe.
 
Hali ya hewa ni majira ya joto na baridi kali. Wakati wa Julai/Agosti halijoto hufikia +30[[°C]] inayoshuka hadi -20 °C wakati wa JanuaryJanuari.
 
Eneo la Nebraska lilitwaliwa na Marekani mwaka 1854. Baada ya [[vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Marekani]] eneo likapewa cheo cha jimbo kamili.
 
{{Commons category}}
{{commonscat}}
{{Majimbo ya Marekani}}
{{mbeguMbegu-jio-USA}}
 
[[Jamii:Majimbo ya Marekani]]