Neil Armstrong : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeondoa: diq:Neil Armstrong (deleted)
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Neil Armstrong in suit.jpg|thumb|right|Neil Armstrong]]
 
'''Neil Armstrong''' (amezaliwa [[5 Agosti]], [[1930]] — [[25 Agosti]], [[2012]]) ni rubani [[mwanaanga]] wa Kimarekani aliyekwenda mwezini mwaka 1969.
 
== Mwanaanga ==
Alizaliwa katika familia ya wakulima kwenye jimbo la [[Ohio]] tarehe 5 Agosti, 1930. Baada ya kumaliza shule alijiunga na jeshi ambako alipata mafunzo ya uhandisi na kuwa rubani. 1952 alishiriki katika vita vya [[Korea]].
 
== Rubani wa majaribio ==