Niels Bohr : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza an:Niels Bohr
Minor fix using AWB
Mstari 3:
[[Picha:Niels Bohr Date Unverified LOC.jpg|thumb|Niels Bohr]]
 
'''Niels Henrik David Bohr''' ([[7 Oktoba]], [[1885]] – [[18 Novemba]], [[1962]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Denmark]]. Hasa alichunguza nadharia za [[atomu]] na [[kwanta]]. Mwaka wa 1922 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''. Mwana wake ni mwanafizikia [[Aage Bohr]].
 
Tangu 1997 [[elementi sintetiki]] ya [[Bohri]] imepewa jina lake kwa heshima ya Niels Bohr.
 
{{mbeguMbegu-mwanasayansi}}
 
{{DEFAULTSORT:Bohr, Niels}}