Orange Democratic Movement : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
Minor fix using AWB
Mstari 1:
{{mergefromMerge|Chama cha Orange Democratic Movement (ODM)|date=JulyJulai 2010}}
{{mergetoMerge|ODM-Kenya}}
 
'''Orange Democratic Movement (ODM)''' au kwa jina kamili '''Orange Democratic Movement Party of Kenya''' ni chama cha kisiasa nchini [[Kenya]]. Kilianzishwa mwaka 2006 katika maandalizi ya uchaguzi wa bunge la Kenya 2007. Katika Agosti 2007 chama kilifarakana kati ya wafuasi wa [[Kalonzo Musyoka]] aliyeendelea kwa [[ODM-Kenya]] na maungano ya viongozi wengi zaidi pamoja na [[Raila Odinga]] walioendelea kama ODM. Sababu ya farakano ilikuwa swali la nani atakuwa mgombea wa urais upande wa ODM.
 
==Chanzo ni kambi la machungwa katika kura ya katiba mpya==
Chanzo cha ODM ilikuwa kura maalumu ya wananchi ya 2005 kuhusu katiba mypa. Katiba ilipendekezwa na rais [[Mwai Kibaki]] na wafuasi wake. Wabunge wa [[LDP (Kenya)|LDP]] walipinga pendekezo la katiba pamoja na chama cha upinzani cha [[KANU]] chini ya [[Uhuru Kenyatta]]. Pande mbili katika kura hii zilipewa alama za ndizi (kambi ya "ndiyo") na chungwa (kambi ya "hapana").
 
[[LDP (Kenya)|LDP]] na [[KANU]] zilishirikiana pamoja na vyama vingine kama NPK ya [[Charity Ngilu]] katika kambi ya machungwa. Baada ya katiba kukataliwa na wananchi katika kura maalumu Kibaki aliondoa wafuasi waote wa kambi la machungwa katika serikali yake.
 
==Kuunda chama na farakano==
Hapa waliamua kuandaa chama kipya pamoja na KANU kwa ajili ya uchaguzi wa 2007. Chama kiliundwa kwa jina la '''ODM-Kenya''' kwa sababu wakili Mugambi Imanyara asiyekuwa na uhusiano wowote na harakati aliwahi mwaka 2005 kuandikisha kisiri chama kwa jina la ODM pamoja na nembo la chungwa. Hatua hii ilitazamiwa kama jaribio la kuzuia kwa kuandikisha chama kipya chenyewe.
 
KANU ilijiondoa kabla ya uchaguzi na kuhamia upande wa rais Kibaki lakini viongozi kadhaa kama vile [[Musalia Mudavadi]] na William Ruto walibaki upande wa machungwa.
Mstari 20:
 
==Uchaguzi wa 2007==
Katika uchaguzi wa 2007 ODM ilifaulu vizuri upande wa viti vya [[bunge la Kenya]]. Ilipata karibu nusu ya wabunge wote yaani 99 kati ya 120.
 
Katika uchaguzi wa rais Raila Odinga alitangaziwa kuwa ameshindwa na rais Kibaki kwa kura 230,000. Lakini watazamaji wengi waliona kasoro katika hesabu ya kura na ODM ilidai kuwa Odinga ni mshindi halali.
 
{{Marejeo}}
<references />
 
[[Jamii:Vyama vya kisiasa Kenya]]