Oreste Baratieri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.5) (roboti Nyongeza: ru:Баратьери, Орест
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Oreste baratieri.JPG|thumb|right|Oreste Baratieri]]
'''Oreste Baratieri''' ([[13 Novemba]], [[1841]] – [[7 Agosti]], [[1901]]) alikuwa jenerali katika jeshi la [[Italia]] na gavana wa koloni ya [[Eritrea]] aliyeongoza Waitalia katika [[mapigano ya Adowa]] waliposhindwa vibaya na [[Ethiopia]].
 
Baratieri alikuwa mwenyeji wa jimbo la [[Tirol]] upande wa kaskazini wa Italia. Alishiriki katika mapigano ya vita ya maungano ya Italia chini ya [[Guiseppe Garibaldi]] miaka ya [[1860]] na [[1861]].
Mstari 6:
1891 alipewa cheo cha jenerali na kuwa mkuu wa jeshi la Italia katika Eritrea. 1892 alikuwa pia gavana. Baratieri aliongoza wanajeshi wake katika ushindi wa mapigano mbalimbali dhidi ya vikosi vya watemi na makabila ya Ethiopia.
 
1895 alipokea amri za serikali yake ya kushambulia Ethiopia baada ya [[Negus]] [[Menelik II]] alikana [[mkataba wa Wuchale]]. Baratieri alitembelea Italia na kuwahutubia wananchi akiwaahidi atamleta Menelik kama mfungwa.
 
Oktoba 1895 Baratieri alivuka mto Mareb na kuingia Ethiopia. Baada ya mapigano ya kwanza alijifunza kuhusu jeshi kubwa la Menelik akaamua kusubiri hadi akiba za chakula cha Waethiopia ziishe. Lakini serikali ya waziri mkuu Crispi alitaka kutangaza ushindi ikamwamuru Baratieri ashambulie mara moja.