Papa Gregori XIII : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imeongeza bs:Papa Grgur XIII Imebadilisha tl:Papa Gregorio XIII
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Gregory XIII.jpg|350px|thumb|Papa Gregorius XIII]]
 
'''Papa Gregori XIII''' (*[[7 Januari]], [[1502]] mjini [[Bologna]]/[[Italia]]; †[[10 Aprili]], [[1585]] mjini [[Roma]]) alikuwa papa wa [[kanisa katoliki]] kuanzia [[13 Mei]], [[1572]] hadi kifo chake. Alimfuata [[Papa Pius V]] akafuatwa na [[Papa Sixtus V]]
 
Anakumbukwa hasa kwa matengenezo ya kalenda iliyojulikana kama "[[kalenda ya Gregori]]" ikawa kalenda ya kimataifa kote duniani.
 
Alizaliwa kwa jina la '''Ugo Buoncampagni''' akafuata masomo ya sheria na kuwa profesa wa sheria kwenye chuo kikuu cha Bologna.
 
Mwaka 1539 aliitwa na [[Papa Paulo III]] akapewa kazi mbalimbali kama mwanasheria wa kanisa. Baadaye [[Papa Paulo IV]] alimpa cheo cha [[askofu]] wa Viesti (Italia) na ni sasa tu ya kwamba Ugo alikula kiapo cha upadre na kuwekwa wakfu kama askofu moja kwa moja.
Mstari 11:
Baada ya kifo cha [[Papa Pius V]] alichaguliwa kuwa mfuasi wake akachukua jina la "Gregorius". Papa Gregori XIII alijitahidi kurudisha nyuma mwendo wa matengenezo ya kiprotestant. Alikubali kudhulumiwa kwa Wainjili nchini Ufaransa tar. 23 -24 Agosti [[1572]] ("[[Usiku wa Bartolomeo]]"). Alijaribu kukusanya mataifa ya Ulaya dhidi ya Dola la Uturuki kwa shabaha ya kukomboa mji wa [[Konstantinopoli]] lakini hakufaulu.
 
Pamoja na jitihada hizi za kisiasa alijenga taasisi ya taaluma. Aliunda Chuo Kikuu cha Mapapa huko Roma kinachoitwa kwa heshima yake "Gregoriana" hadi leo.
 
Kalenda mpya hakutunga lakini aliita wataalamu katika kamati maalumu na kukubali mapendekezo yake tar. [[24 Februari]], [[1582]].
 
== Viungo vya nje ==