Papa Pius XI : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Boti: Inarbadilisha tl:Papa Pío XI hadi tl:Papa Pio XI
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Pius xi 1.jpg|thumb|right|300px|Pius XI ofisini]]
 
'''Papa Pius XI''' ([[31 Mei]], [[1857]] – [[10 Februari]], [[1939]]) alikuwa [[Papa]] kuanzia [[6 Februari]], [[1922]] hadi kifo chake.
 
Alimfuata [[Papa Benedikt XV]] na kuvishwa taji [[12 Februari]] [[1922]]. Akafuatwa na [[Papa Pius XII]].
 
==Maisha==
Alitoka nchi ya [[Italia]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Achille Ambrogio Damiano Ratti''.
 
Kabla ya kuchaguliwa kama Papa, alikuwa askofu mkuu wa [[Milano]] (tangu 1921).
Alitoka nchi ya [[Italia]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Achille Ambrogio Damiano Ratti''.
 
Kabla ya kuchaguliwa kama Papa, alikuwa askofu mkuu wa [[Milano]] (tangu 1921).
 
{{DEFAULTSORT:Pius XI}}
{{mbeguMbegu-Papa}}
 
[[Picha:Pius XI.jpg]]