Papa Urban VII : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Urban3355.jpg|thumb|right|Papa Urban VII]]
 
'''Papa Urban VII''' ([[4 Agosti]], [[1521]] – [[27 Septemba]], [[1590]]) alikuwa [[papa]] kuanzia [[15 Septemba]], [[1590]] hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa '''Giovanni Battista Castagna'''. Alimfuata [[Papa Sixtus V]] akafuatwa na [[Papa Gregori XIV]]. Alipatwa na [[malaria]] na kufariki kabla hajavishwa taji.
 
== Viungo vya nje ==
[http://www.newadvent.org/cathen/15218a.htm Papa Urban VII katika ''Kamusi Elezo ya Kikatoliki'']
 
{{mbeguMbegu-Papa}}
 
{{DEFAULTSORT:Urban VII}}