Papa Yohane XXIII : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.5.4) (Robot: Modifying tl:Juan XXIII to tl:Papa Juan XXIII
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:John23leo.jpg|thumb|right|Papa Yohane XXIII]]
 
'''Papa Yohane XXIII''' ([[25 Novemba]], [[1881]] – [[3 Juni]], [[1963]]) alikuwa [[Papa]] kuanzia [[28 Oktoba]], [[1958]] hadi kifo chake. Alimfuata [[Papa Pius XII]] akafuatwa na [[Papa Paulo VI]].
 
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa '''Angelo Giuseppe Roncalli'''. Watu walipenda kumuita "Papa mwema".
 
[[Papa Yohane Paulo II]] alimtangaza [[mwenye heri]] tarehe [[3 Septemba]] [[2000]].
 
Umuhimu wa Papa huyu ni kwamba aliitisha [[Mtaguso wa pili wa Vatikano]] ([[1962]]-[[1965]]) ambao ulikutanisha ma[[askofu]] wote wa [[Kanisa Katoliki]] na kuleta matengenezo mbalimbali ndani ya [[kanisa]] hilo.
 
== Viungo vya nje ==
Mstari 13:
* [http://www.documentacatholicaomnia.eu/01_01_1958-1963-_Ioannes_XXIII,_Beatus.html Maandishi yake yote katika lugha mbalimbali]
 
{{mbeguMbegu-Papa}}
 
{{DEFAULTSORT:Yohane XXIII}}