Peter Debye : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza jv:Peter Debye
Minor fix using AWB
Mstari 2:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Peter Joseph William Debye''' ([[24 Machi]], [[1884]] – [[2 Novemba]], [[1966]]) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya [[Uholanzi]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Petrus Josephus Wilhelmus Debije''. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza mfumo wa [[atomu]], mionzi ya [[eksirei]], na sifa za [[gesi]]. Mwaka wa [[1936]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''. Mwaka wa [[1940]], kabla WaNazi hawajavamia Uholanzi, Debye alihamia [[Marekani]] alikoishi hadi kifo chake.
 
{{mbeguMbegu-mwanasayansi}}
 
{{DEFAULTSORT:Debye, Peter}}