Peter I wa Urusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imebadilisha: io:Pyotr 1ma di Rusia, ur:پطرس اعظم
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Peter der-Grosse 1838.jpg|thumb|right|200px|Tsar Peter I wa Urusi]]
 
'''Peter I wa Urusi''' (au '''Peter Mkuu''') alikuwa Tsar (au [[Kaisari]]) wa [[Urusi]]. Jina lake la [[Kirusi]] lilikuwa '''Pyotr Alekseyevitch Romanov''' ('''Пётр Алексеевич Романов'''). Alizaliwa tarehe [[9 Juni]], [[1672]] na kufariki tarehe [[8 Februari]], [[1725]]. Alikuwa mtawala aliyefikisha Urusi yenye historia ya Kiasia katika siasa na utamaduni wa Ulaya.
 
Peter Mkuu alianza utawala wake mwaka [[1689]] akiwa na umri wa miaka 17. Mwanzoni alilenga kuimarisha jeshi la Urusi na hasa wanamaji. Akiona ya kwamba mafundi wote wa kujenga meli walitoka Ulaya hasa Uholanzi alifanya safari akakaa Uholanzi na kuwa mfanyakazi wa kujenga jahazi kwa miezi minne.
Mstari 9:
Hasa alianza kujenga mji mkuu mpya kwenye mwambao wa Baltiki yaani katika pemba la magharibi kabisa ya milki yake. Mji huu uliitwa [[Sankt Peterburg]] ukachukua nafasi ya [[Moskva]] kunanzia [[1712]] hadi [[1918]].
 
Katika vita mbalimbali alivunja nguvu ya Uswidi na kutwaa majimbo mapya ya [[Estonia]] na [[Latvia]].
 
Alibadilisha pia mfumo wa utawala wa kanisa la Kiorthodox la Urusi. Aliondoa cheo cha [[Patriarka]] (Askofu Mkuu) na badala yake aliunda ofisi ya Sinodi Kuu iliyokuwa mkono wa serikali yake.
 
{{mbeguMbegu-mtu}}
 
[[Jamii;Waliozaliwa 1672]]