Pieter Brueghel Mzee : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Minor fix using AWB
Mstari 2:
[[Picha:Pieter Bruegel the Elder - The Tower of Babel (Vienna) - Google Art Project - edited.jpg|thumb|300px|Mnara wa Babeli]]
[[Picha:BruegelPortrait.jpg|thumb|Pieter Breughel alivyojichora mwenyewe]]
'''Pieter Brueghel''' (* kati ya [[1525]] na [[1530]] mjini [[Breda]]; † [[5 Septemba]], [[1569]], [[Brussels]]) alikuwa mchoraji [[Uholanzi|Mholanzi]] wa [[karne ya 16]]. Anaitwa "Brueghel Mzee" ili kumtofautisha na mwanawe [[Pieter Brueghel Kijana]] aliyekuwa mchoraji mashuhuri pia. Anahesabiwa kati ya wachoraji muhimu zaidi wa [[Zama ya Mwangaza]] ya Ulaya.
 
Brueghel alijifunza sanaa ya uchoraji mjini [[Antwerpen]] hadi kufikia kiwango cha fundi mwalimu. Mnamo 1552-1555 alisafiri [[Italia]] alikoangalia sanaa ya karne nyingi.
Mstari 8:
Picha za Brueghel zinaonyesha vinaganaga vingi, alipenda kuficha ujumbe wake katika vipengele vidogo. Alipenda kuonyesha maisha ya wakulima vijijini kwa umakini kabisa. Picha zake zote zinasimulia hadithi katika mazingira ya mandhari ya kiholanzi. Alichora pia habari za [[Biblia]] na ndoto akifanana na [[Hieronymus Bosch]].
 
Kati ya picha zake mashuhuri sana ni "Misemo na nahau za lugha ya Kiholanzi" alimoonyesha misemo zaidi ya 100, halafu pia "Mnara wa Babeli".
 
== Viungo vya Nje ==
{{commonscatCommons category|Pieter Bruegel (I)}}
 
{{commonscat|Pieter Bruegel (I)}}
* [http://www.wga.hu/bio/b/bruegel/pieter_e/biograph.html Biography at the Web Gallery of Art]
* [http://www.wga.hu/html/b/bruegel/pieter_e/painting/index.html Web Gallery of Art: Paintings by Pieter Bruegel the Elder]