Ray Steadman-Allen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kubwa ---> ndogo herufi, replaced: Watu Walio Hai → Watu walio hai using AWB
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:rayallen.jpg|thumb|left|Ray Steadman-Allen]]
== Historia ==
 
== Historia ==
'''Ray Steadman-Allen''' alizaliwa [[18 Septemba]], [[1922]] katika hospitali ya 'akina Mama' ya Jeshi la Wokovu, mjini Clapton,wakati wazazi wake waliokuwa afisa wa Jeshi la Wokovu alikuwa wakiishi katika eneo la [[Horfield]],[[Bristol]]. Walipopata kazi jijini [[London]] katika mwaka wa 1937,Ray aliajiriwa kazi katika Makao Makuu ya Kimataifa ya Jeshi la Wokovu kama mtumishi wa ofisi wa Generali Evangeline Booth, binti wa mwanzilishi wa Jeshi la Wokovu.
 
Katika mwaka wa 1942,aliandikishwa kwenye Kikosi cha Wanamaji. Yeye alitahiniwa kwa shahada ya muziki na [[Sir Granville Bantock]] aliyemwalika ili ampe kazi katika muziki vita vitakapoisha. Hapo baadaye, Bantock alikufa, na Ray alijiunga na Idara ya Kuhariri Muziki ya Jeshi la Wokovu. Kufuatia muda mfupi,baada ya vita,alikuwa mchezaji wa ala ya muziki ya tromboni katika Bendi ya Watumishi ya Kimataifa,huko ndiko alikoendeleza ujuzi wake wa kuongoza bendi. Baadaye,alikuwa kiongozi wa Bendi ya Tottenham Citadel.
Mstari 9:
 
Mnamo mwaka wa 1951,yeye alioa Joyce Foster, ambaye alikuwa afisa Jeshi la Wokovu ya [[Hastings]] Citadel tangu 1949.
 
 
== Kazi katika Muziki ==
 
Muziki yake ilisemekana kama kuwa mbele ya muda yaani ni kama ilkuwa ya wakati ujao hadi wakati mwingine ilikuwa haikubaliki kwa wasikilizaji.Kwa mfano wimbo wake ''Lord of the Sea'' ulileta mgogoro mkubwa. Ubunifu wake ,kwa kweli,ulikuwa umetoka kwa Mungu na huo ndio ulifanya muziki ya Jeshi la Wokovu kuendelea mbele katika miaka iliyofuata,hasa wakati Idara ya Kimataifa ya Uhariri wa Muziki ilipokuwa chini ya uongozi wake katika miaka ya 1967-1980.
 
Line 31 ⟶ 28:
 
== Diskografia ==
* CHRISTMAS CHORAL MUSIC (Danish National Opera Choir)
* BRITISH BANDSMAN CENTENARY CONCERT, 1887-1987
 
== Nyimbo ==
 
1.Silver Star
 
Line 42 ⟶ 38:
== Marejeo ==
[http://www1.salvationarmy.org.uk/uki/www_uki.nsf/vw-sublinks/195F680516EEE9388025709D0045E71E?openDocument Maoni kuhusu kitabu cha ''Colour and Texture in the Brass Band Score'']
 
== Viungo vya nje ==
** [http://www.classicsonline.com/composerbio/Ray_Steadman_Allen/ Diskografia ya Ray Steadman-Allen]
** [http://www.spiritus-temporis.com/ray-steadman-allen/ Biografia ya Ray Steadman-Allen]
** [http://www.osun.org/Ray+Steadman-Allen-pdf.html Vitabu vya Ray Steadman Allen kwenye mtandao]
** [http://www.classicalarchives.com/album/095115451328.html Albamu ya Ray Steadman-Allen]
 
{{DEFAULTSORT:Steadman-Allen, Ray}}