Roald Hoffmann : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:Roald Hoffmann.jpg|thumb|right|Roald Hoffmann]]
'''Roald Hoffmann''' (amezaliwa [[18 Julai]], [[1937]]) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya [[Marekani]] akiwa amezaliwa nchini [[Poland]]. Hasa alichunguza utaratibu wa athari za kikemia. Mwaka wa [[1981]], pamoja na [[Kenichi Fukui]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''.
 
{{mbeguMbegu-Nobel}}
 
{{DEFAULTSORT:Hoffmann, Roald}}