Tofauti kati ya marekesbisho "Robert Penn Warren"

2 bytes removed ,  miaka 8 iliyopita
Minor fix using AWB
d (r2.6.4) (roboti Nyongeza: eu:Robert Penn Warren)
(Minor fix using AWB)
[[Picha:Robert Penn Warren.jpg|thumb|right|Robert Penn Warren]]
'''Robert Penn Warren''' ([[24 Aprili]], [[1905]] – [[15 Septemba]], [[1989]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa aliandika [[riwaya]] na mashairi. Mwaka wa [[1947]], alipokea '''[[Tuzo ya Pulitzer]]''' kwa riwaya yake ''All the King's Men'' (Wanaume wote wa Mfalme"). Kwa mashairi yake, alipokea Tuzo ya Pulitzer mara mbili, miaka ya [[1958]] na [[1979]].
 
{{DEFAULTSORT:Warren, Robert Penn}}
{{mbeguMbegu-mwandishi-USA}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1905]]
9,527

edits