Ryan White : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Robot: en:Ryan White is a featured article
Minor fix using AWB
Mstari 12:
| tovuti = [http://www.ryanwhite.com/ Official website]
}}
'''Ryan Wayne White''' (6 Desemba, 1971&nbsp;– 8 Aprili, 1990)<ref name="Timeline">{{cite web |url=http://www.ryanwhite.com/pages/timeline.html |title=A Timeline of Key Events in Ryan's Life |accessdate=2009-12-02 |publisher=Ryanwhite.com |archiveurl=http://web.archive.org/web/20071012032359/www.ryanwhite.com/pages/timeline.html |archivedate=2007-10-12}}</ref> alikuwa kijana wa Kiamerika kutoka mjini [[Kokomo, Indiana]] ambaye amekuwa maarufu baada ya kuwekwa picha yake kwenye kijarida cha kuombea misaada ya wagonjwa watoto wenye [[HIV]]/[[UKIMWI]] huko nchini Marekani, baada ya kufukuzwa shule ya msingi kwa sababu ya kuathirika kwake. Baada ya kuumwa hemofilia, amekuwa na mwathirika wa HIV kutoka kwa damu iliyoathirika na, na alipofanyiwa uchunguzi na kuhudumiwa mnamo mwezi wa Desemba 1984, alikadiriwa ataishi miezi sita tu.
 
Madaktari hana athari kwa wanafunzi wengine, lakini UKIMWI ulikuwa hatumbuliki sana kwa kipindi hicho, na pindi White anajaribu kurudi shule, wazazi na walimu waliungana huko mjini Kokomo kupinga uzuru wake. Vita aliyokuwa akipigana nayo na mifumo ya shule ilishtakiwa, na taarifa za matukio ya vyombo vya habari vimefanya suala la White kuwa mtu mashuhuri kitaifa na kuwa mwongeaji wa tafiti za UKIMWI na elimu kwa umma.
 
Ameonekana zaidi kwenye vyombo vya habari akiwa na watu maarufu kama vile [[Elton John]], [[Michael Jackson]] na [[Phil Donahue]]. Kilicho-washangaza madaktari, White ameishi miaka mitano zaidi kuliko vile walivyomtabiria na alikufa mnamo mwezi wa Aprili 1990, mwaka mmoja kabla ya kumaliza sekondari.
 
==Marejeo==
{{reflistMarejeo}}
 
==Viungo vya Nje==
{{Portal|Biografia}}
* {{officialOfficial|http://www.ryanwhite.com/}}
* [http://www.iudm.org/about/history.php Indiana Dance Marathon]
* [http://www.history.com/videos/history-uncut-ryan-white-1986 Ryan White interview 1986]
Line 33 ⟶ 34:
[[Jamii:Wanaharakati wa afya nchini Marekani]]
 
{{mbeguMbegu-mtu}}
 
{{Link GA|es}}