Saturnus : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza eu:Saturno (mitologia)
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:GiorcesBardo6.jpg|thumb|250px|Sanamu hii ya Saturnus imepatikana katika Tunisia yaonyeshwa katika makumbusho ya Bardo]]
'''Saturnus''' ni jina la mungu mmojawapo aliyeabudiwa katika [[Roma ya Kale]]. Aliaminiwa kuwa mungu aliyehusika mambo ya kilimo na mavuno. Alitolewa sadaka kwa ajili ya kustawi kwa mazao.
 
Katika masimulizi ya Waroma wa Kale Saturnus alikuwa mwana wa mungu wa mbingu [[Urano]] na mungu wa kike wa ardhi [[Gaia]]. Alimpindua babake kwa kukata uume wake. Baadaye alihofia ya kwamba watoto wake watampindua vile hivyo alikula watoto wake wote isipokuwa mwana wa sita [[Jupiter]] alifichwa mbele yake. Saturnus alipaswa kukimbia akafikia Italia alipowafundisha wenyeji elimu ya kilimo.
 
Sikukuu ya Saturnus iliitwa "Saturnalia" ni siku kadhaa kuanzia Desemba 17 Desemba zilizokuwa sherehe kubwa huko Roma.
 
Alama yake angani ilikuwa [[sayari]] ya sita yaani [[Zohari]] inayoitwa hadi leo kwa jina la "Saturn" katika lugha za Ulaya.
 
Siku ya [[Jumamosi]] huitwa "siku ya Saturnus" yaani Saturday hadi leo kwa [[Kiingereza]] na [[Kiholanzi]].