Sayari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza min:Planet
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Solar_planets.jpg|thumb|140px|Sayari za [[mfumo wa jua]] letu; ukubwa unaonyesha uhusiano halisi kati ya sayari lakini umbali kati ya sayari hauonyeshwi]]
 
'''Sayari''' ni [[gimba la angani]] kubwa linalozunguka [[jua]] na kung'aa kutokana na nuru ya jua iliyoakisiwa, tofauti na [[nyota]] na jua zinazong'aa pekee zao.
 
==Sayari za jua letu==
Jua letu lina sayari nane ambazo ni [[Utaridi]] ''(Mercurius)'', [[Zuhura]] (pia: Ng'andu; ''Venus''), [[Dunia]] yetu ''(Earth)'', [[Mirihi]] ''(Mars)'', [[Mshtarii]] ''(Jupiter)'', [[Zohali]] ''(Saturnus)'', [[Uranus]] na [[Neptun]]. Toka mwaka 1930 hadi Agosti 2006 [[Pluto]] ilikuwa ikitambulika kama sayari hivyo kufanya idadi ya sayari zinazojulikana kuwa tisa. Hata hivyo chama chenye mamlaka ya masuala ya sayari na nyota, [[International Astronomical Union]] kimetangaza rasmi kuwa Pluto sio sayari na kuiita [[sayari kibeti]].
 
Sayari tano za [[Utaridi]], [[Zuhura]], [[Meriki]], [[Mshtarii]] na [[Zohari]] <ref>kuhusu majina ya sayari zilizojulikana kwa Waswahili na hivyo kuwa na majina ya asilia linganisha Jan Knappert, Swahili Islamic poetry, Brill 1971, Vol 1 uk 96-97 - taz google booksearch [http://books.google.de/books?id=yzsVAAAAIAAJ&pg=PA97&lpg=PA97&dq=swahili+milky+way&source=bl&ots=TTuUw8pwyY&sig=VpAq9mWXJ-BwDL5w0DwxouIpcGw&hl=de&ei=x9FATPawC4bG4AbppeDXDg&sa=X&oi=book_result&ct=result&resnum=1&ved=0CBUQ6AEwADgK#v=onepage&q=swahili%20milky%20way&f=false]. <br /> Menginevyo kuhusu mchangayiko wa majina ya sayari anagalia ukurasa wa majadiliano.</ref> huonekana kwa macho kama [[nyota]] angani. Lakini tangu zamani zilitambuliwa kuwa tofauti kwa sababu hazikai mahali palepale kama nyota ya kawaida bali huhamahama angani. Kutokana na tabia hii zimetazamiwa mara nyingi kuwa na nguvu za pekee au hata kuwa miungu. [[Unajimu]] imetumia mwendo wa sayari zinazoonekana kwa macho kama msingi muhimu wa makadirio yao.
 
Sayari nyingine katika [[mfumo wa jua]] zimetambuliwa tangu kutokea kwa [[astronomia]] ya kisayansi kwa [[darubini]]. Hizi ni [[Uranus]] na [[Neptun]]. Katika lugha ya Kiswahili sayari zinazoonekana kwa macho huwa na majina ya asili ya [[Kiarabu]] isipokuwa Zuhura ina jina la [[Kibantu]] la [[Ng'andu]] pamoja na jina la asili ya Kiarabu. Majina mengine ni ya asili ya [[Kilatini]].
Mstari 13:
 
==Aina za sayari==
Sayari za jua letu hutofautiana kati yao katika ukubwa na pia muundo. Mshtarii ni sayari kuwba na masi yake ni mara 318 masi ya dunia yetu. Sayari ndogo ni Utaridi na masi yake ni takriban nusu ya dunia.
 
Kutokana na umbali tunatofautiana "Sayari za ndani" kuanzia Utaridi (Mercurius) hadi [[ukanda wa asteroidi ]], halafu sayari za nje kuanzia Mshtarii (Jupiter) hadi Uranus.
 
Muundo ya sayari ni tofauti kuna vikundi kulingana na mata inayojenga sayari:
* '''Sayari za mwamba''': sayari hizi zina muundo unaofanana na dunia yetu; asilimia kubwa ya masi ni mwamba. Hizi ni sayari za ndani za mfumo wa jua letu. Zote ni ndogo kuliko sayari za nje.
* '''Sayari jitu za gesi''': Sayari hizi kama Mshtarii (Jupiter) na Zohali (Saturnus) ziko kubwa na zimefanywa na [[hidrojeni]] na [[heli]]. Masi ya Mshtarii ni mara 318 ile ya dunia, Zohali mara 95. Ilhali sayari hizi ni baridi kutokana na umbali mkubwa na jua hidrojeni inatokea kwa kiasi kikubwa katika hali [[mango]] na kwenye sehemu za ndani hidrojeni ina tabia kama metali kutokana na shindikizo kubwa.
* '''Sayari jitu za barafu'''- hizi ni Uranus na Neptun. Ziko kubwa kuliko dunia lakini si kama sayari jitu za gesi; Uranus huwa na masi 14 za dunia, Neptun na masi 17 za dunia. Ganda la nje ni mchanganyiko wa hidrojeni na [[methani]], na sehemu za ndani ni barafu ya maji na methani.
 
==Sayari nje ya mfumo wa jua letu==
Wataalamu wa astronomia wamegundua sayari hata nje ya mfumo wa jua letu zinazozunguka nyota mbalimbali. Kutokana na umbali mkubwa na matatizo ya utazamaji hakuna uhakika hadi sasa kama nyota kuwa na sayari ni jambo la kawaida angani au kama sayari ni chache tu. Lakini uwezekano ni kubwa ya kwamba sayari ziko nyingi sana.
 
Hadi desemba 2012 jumla ya sayari 854 nje ya mfumo wa jua letu zimetambuliwa. Nyingi kati ya hao zilikuwa na ukubwa kufanana na Mshtarii au kubwa zaidi. Lakini sayari ndogo zaidi zimetambuliwa pia. <ref name="Encyclopaedia">{{cite web |title=Interactive Extra-solar Planets Catalog |work=[[The Extrasolar Planets Encyclopaedia]] |url=http://exoplanet.eu/catalog.php |last=Schneider |first=Jean |date=10 SeptemberSeptemba 2011 |accessdate=2012-01-30 }}</ref>
 
== Marejeo na viungo vya nje ==
* {{Marejeo}}
* <references/>
* [http://www.iau.org/ Tovuti ya International Astronomical Union]
{{mbeguMbegu-sayansi}}
{{mfumoMfumo wa jua na sayari zake}}
 
[[Jamii:Astronomia]]