Sierra Leone : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza ba:Сьерра-Леоне
Minor fix using AWB
Mstari 1:
{{Infobox country
{{Infobox_Country
|native_name = Republic of Sierra Leone
|conventional_long_name =
Mstari 9:
|national_motto = Unity - Freedom - Justice (Umoja, Uhuru, Haki)
|national_anthem =''[[High We Exalt Thee, Realm of the Free]]'' (Twakusifu nchi ya watu huru)
|official_languages =[[Kiingereza]]
|capital =[[Freetown]]
|latd= 8|latm=31 |latNS=N |longd=13 |longm=15 |longEW=W
|largest_city = [[Freetown]]
|government_type = [[Jamhuri]]
|leader_titles =[[Orodha ya Marais wa Sierra Leone|Rais]]
|leader_names =[[Ernest Bai Koroma]]
|area_rank =ya 116
|area_magnitude =1 E11
|area=71,740
|areami²=27,699
|percent_water =1.0
|population_estimate =5,525,000
|population_estimate_rank = ya 107 <sup>1</sup>
|population_estimate_year =Julai 2005
|population_census = 5,426,618
|population_census_year =2000
|population_density =83.7
|population_densitymi² =216.8
|population_density_rank = ya 86 <sup>1</sup>
|GDP_PPP = $5.022 billioni<!--CIA-->
Mstari 36:
|sovereignty_type = [[Uhuru]]
|established_events = kutoka [[Uingereza]]
|established_dates = [[Aprili 27 Aprili]], [[1961]]
|HDI = 0.298
|HDI_rank = ya 176
|HDI_year =2003
|HDI_category =<font color="#E0584E">low</font>
|currency =[[Leone]]
|currency_code = SLL
|country_code =
|time_zone = [[GMT]]
|utc_offset = +0
|time_zone_DST =
|utc_offset_DST =
|cctld = [[.sl]]
|calling_code = 232
Mstari 58:
 
== Historia ==
Nchi yenyewe ilianzishwa kwa kuunda mji wa [[Freetown]] ("Mji wa watu huru") mwaka 1787 na [[Waingereza]]. Kusudi lake likuwa kuwarudisha Afrika watu waliowahi kuwa [[watumwa]]. Kiasili wale wakazi wa kwanza walikuwa watumwa weusi waliopewa uhuru kwa sababu walishikamana na Waingereza dhidi ya Waamerika katika vita ya Uhuru wa [[Marekani]]. Baadaye Waingereza [[wapinzani wa utumwa]] walinunua watumwa wakiwapa uhuru na kuwapeleka Sierra Leone. Tangu 1807 Uingereza ilikataza biashara ya watumwa (lakini bado utumwa mwenyewe) na watumwa waliopatikana kwenye meli za biashara zilipelekwa Sierra Leone na kupewa uhuru.
 
Ikianzishwa na shirika la wapinzani wa utumwa Sierra Leone ikawa koloni ya kwanza ya Uingereza katika Afrika ya Magharibi mwaka 1792. Kuanzia 1802 Freetown ilikuwa makao makuu ya Kiingereza kwa Afrika ya Magharibi.
Mstari 71:
 
 
{{commonsCommons}}
 
 
 
{{Afrika}}
{{mbeguMbegu-jio-Afrika}}
 
[[Jamii:Sierra Leone|*]]