Snow White and the Seven Dwarfs (filamu ya 1937) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Minor fix using AWB
Mstari 1:
{{Filamu 2
| jina = Snow White and the Seven Dwarfs
| picha = Snowwhiteposter.jpg
| maelezo ya picha = Posta ya filamu
| mtunzi = [[Brothers Grimm]] ''(ngano za kale)''
[[Ted Sears]]
Richard Creedon
Otto Englander
Dick Rickard
[[Earl Hurd]]
[[Merrill De Maris]]
Dorothy Ann Blank
Webb Smith
Mstari 8:
| msambazaji = [[RKO Radio Pictures]]
| muziki = [[Frank Churchill]]
[[Paul Smith]]
[[Leigh Harline]]
| imetolewa = December 21, Desemba 1937 ''(onyesho la kwanza)''
February 4, Februari 1938 ''(US)'' April 5, Aprili 1938 ''(Canada)''
| nyota = [[Adriana Caselotti]]
[[Lucille La Verne]]
[[Pinto Colvig]]
[[Roy Atwell]]
| muda = Dk. 83
Mstari 16:
| mapato = $8,000,000 (est.) <ref>{{cite book
|last= Maltin|first= Leonard|year= 1980, rev. 1987|title= Of Mice and Magic: A History of American Animated Cartoons|location= New York
|publisher= Plume|isbn= 0-452-25993-2}}. Pg. 57</ref>

'''''Snow White and the Seven Dwarfs''''' ([[Kiswahili]]: '''Theluji Nyeupe na Vijeba Saba''') bu filamu ya katuni ya [[Marekani|Kimarekani]] ya mwaka wa 1937 iliyotokana na ngano za kale ya [[Brothers Grimm]], [[Snow White]]. Ilikuwa filamu ya kwanza kuwa na kipengele kirefu katika historia ya filamu za katuni, vileivle kuwa kama filamu ya kwanza ya katuni kutayarishwa nchini Marekani, ya kwanza kutayarishwa kuwa na rangi kamili, yaani, mwanzo hadi mwisho, ya kwanza kutayarishwa na [[Walt Disney]], na ni ya kwanza katika mfululizo wa filamu za katuni za Disney - [[Walt Disney Animated Classics]].<ref>Smith, Dave. ''[[Disney A to Z]]'', Third Edition, (2006), page 33.</ref>

''Snow White'' ya Walt Disney ilianza kuonyeshwa kwa mara ya kwanza katika ukumbi wa [[Carthay Circle Theatre]] mnamo tar. [[21 Desemba]], [[1937]], na filamu ilitolewa katika makumbi mengine na [[RKO Radio Pictures]] mnamo tar. [[4 Februari]], [[1938]]. Hadithi hii imechezwa na Dorothy Ann Blank, Richard Creedon, [[Merrill De Maris]], Otto Englander, [[Earl Hurd]], Dick Rickard, [[Ted Sears]] na Webb Smith kutoka katika ngano za kale za Kijerumani ''[[Snow White]]'' ya [[Brothers Grimm]]. David Hand alikuwa mwongoza na msimamizi wa kazi hii, wakati William Cottrell, [[Wilfred Jackson]], Larry Morey, Perce Pearce, na [[Ben Sharpsteen]] waliongoza vipengele kimoja baada ya kingine cha filamu.

== Hadithi ==
Mstari 37:

== Marejeo ==
{{reflistMarejeo}}

== Viungo vya Nje nje==
* {{officialOfficial|http://disney.go.com/vault/archives/movies/snow/snow.html}}
* {{imdbIMDb title|0029583|Snow White and the Seven Dwarfs}}
* {{Amg movie|45383|Snow White and the Seven Dwarfs}}
* {{mojoMojo title|snowwhite|Snow White and the Seven Dwarfs}}
* {{rottenRotten-tomatoes|1048445-snow_white_and_the_seven_dwarfs|Snow White and the Seven Dwarfs}}

{{Disney theatrical animated features}}
{{mbeguMbegu-filamu}}

{{DEFAULTSORT:Snow White And The Seven Dwarfs}}