Tofauti kati ya marekesbisho "Tanganyika African National Union"

Minor fix using AWB
d (r2.7.3) (Roboti: Imeongeza no:Tanganyika African National Union)
(Minor fix using AWB)
[[Picha:Tz 1961.svg|thumb|Bendera]]
'''Tanganyika African National Union (TANU)''' kilikuwa chama kilichotawala [[Tanganyika (nchi)|Tanganyika]] na [[Tanzania]] hadi muungano wa chama hiki na Chama cha [[Afro-Shirazi]] cha [[Zanzibar]] ulipounda [[Chama cha Mapinduzi]] (CCM) mwaka 1977.
 
TANU ilianzishwa [[Julai 7 Julai]], [[1954]] kutokana na [[Tanganyika African Association]] (TAA). TAA ilikuwa na mwelekeo wa kitamaduni zaidi ya siasa. Mwenyekiti wa kwanza wa TANU alikuwa [[Julius Kambarage Nyerere]].
 
TANU ilishinda kila uchaguzi chini ya utawala wa kikoloni ikawa chama cha kuongoza Tanzania hadi ilipopata uhuru wake mwaka 1961. [[Katiba]] ya Taifa ya mwaka 1962 ilifanya TANU kuwa chama cha pekee nchini ikifuata mfano wa [[nchi za kijamaa]] zenye muundo wa [[siasa ya chama kimoja]].
9,497

edits