The Italian Job : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imeongeza gl:The Italian Job (filme de 2003)
Minor fix using AWB
Mstari 1:
{{Filamu
| rangi = Golden
| jina = The Italian Job
| picha = The Italian Job 2003.jpg
| maelezo ya picha = Kasha ya filamu ya The Italian Job
| imeongozwa na = F. Gary Gray
| imetungwa na = Donna Powers
Wayne Powers
[[Troy Kennedy-Martin]]
| imetaarishwa na = Tim Bevan
Donald De Line
Jim Dyer
Mstari 10:
| muziki = John Powell
| imehaririwa na = Richard Francis-Bruce
Christopher Rouse
| imesambazwa na = Paramount Pictures
| muda = dk. 111
| imetolewa tar. = [[30 Mei]], [[2003]]
| nchi = [[Marekani]]
| lugha = [[Kiingereza]]

'''The Italian Job''' ni filamu ya mwaka [[2003]] yenye vituko-kupigana. Filamu iliongozwa na F. Gary Gray, na nyota wa filamu ni [[Jason Statham]], [[Mark Wahlberg]], [[Charlize Theron]], [[Edward Norton]] na [[Donald Sutherland]]. Filamu inarejea jina sawa na ile filamu halisi ya awali iliyochezwa na nyota Michael Caine kunako miaka ya [[1969]].
Mstari 20:
== Njama ==
=== Muhtasari wa filamu ===
Filamu inaazia mjini [[Venice]], [[Italia]], tunakutana na kiongozi wa wanakikosi cha filamu hii Bw. John Bridger (Donald Sutherland) akiwa anampigia simu binti yake aitwae Stella ([[Charlize Theron]]) huku baba wa binti huyo akimweleza mwanae kwamba "hii ndiyo kazi yangu ya mwisho" (mazungumzo kupitia simu).

John kisha akakutana mmoja kati ya wanamipango wenzi "mzee wa kazi" Charlie ([[Mark Wahlberg]]) ili kujadiliana kuhusu mipango ya kazi. John na Charlie ni washikaji sana, na wawili hao wanaheshimiana kwa kiasi kikubwa kabisa.
Mstari 58:
== Viungo vya nje ==
* [http://www.italianjobmovie.com/ Official website ''The Italian Job'']
* {{imdbIMDb title|id=0317740|title=The Italian Job}}
* {{rottenRotten-tomatoes|id=italian_job|title=The Italian Job}}
* {{metacriticMetacritic film|id=italianjob|title=The Italian Job}}
* {{mojoMojo title|id=italianjob|title=The Italian Job}}

{{DEFAULTSORT:Italien Job, The}}