The Lion King : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Boti: Inarbadilisha vi:Vua sư tử hadi vi:The Lion King
Minor fix using AWB
Mstari 2:
| jina =The Lion King
| picha=Teaser1.jpg
| maelezo_ya_picha=Posta ya filamu hii iliyochorwa na John Alvin<ref>{{cite news |first=Jocelyn|last=Stewart|title=Artist created many famous film posters|url=http://www.latimes.com/news/printedition/california/la-me-alvin10feb10,1,5113268.story |publisher=''[[Los Angeles Times]]''|date=2008-02-10
| accessdate=2008-02-10}}</ref>
|mwongozaji=Roger Allers<br />Rob Minkoff
| mtayarishaji = Don Hahn
Mstari 10:
| mhariri = Ivan Bilancio
| msambazaji=[[Walt Disney Pictures]]
| imetolewa=[[15 Juni]], [[1994]] (miji iliyochaguliwa)<br />[[24 Juni]], 1994 (kwa ujumla)<br />[[18 Novemba]], 1994 (kutolewa upya)<br />[[25 Desemba]], 2002 (IMAX kutolewa upya kwa toleo maalum)
| muda= 90
| lugha=[[Kiingereza]]
Mstari 18:
| ikafuatiwa_na = ''[[The Lion King II: Simba's Pride]]''
}}
'''''The Lion King''''' ([[Kiswahili]]: ''Mfalme Simba'') ni filamu ya [[katuni]] iliyotolewa mwaka wa [[1994]]. Filamu ilitayarishwa na [[Walt Disney Feature Animation]], na kutolewa kwenye makumbi mnamo tar. [[15 Juni]], [[1994]] na [[Walt Disney Pictures]]. Hii ni ya 32 kutolewa kwa mujibu wa orodha ya filamu za katuni za [[Walt Disney]]. Hadithi hii, ilifananishwa kabisa na ile hadithi ya mchezo wa [[William Shakespeare]] wa ''[[Hamlet]]''. Hadithi hii imechezwa kama ikiwa inaeleza ufalme wa wanyama wa Afrika.<ref name="PlatinumEditionDVDOrigins">{{cite video | title = The Lion King: Platinum Edition (Disc 2), Origins | medium = DVD | publisher = [[Walt Disney Home Entertainment]] | date2=1994-06-15}}</ref> Filamu imepata kuwa moja kati ya filamu zenye mapato makubwa ya karne hadi hapo ilipokuja kutolewa filamu nyingine ya katuni ya ''Finding Nemo'' ([[Disney/Pixar]]). ''The Lion King'' bado inashikiria taji lake la kuwa filamu yenye mapato makubwa katika historia ya makundi ya filamu za kiasili (wanyama)<ref name=Boxofficemojo>{{cite news |url= http://www.boxofficemojo.com/genres/chart/?id=animation.htm |title = Highest grossing animated films| publisher = [[Box Office Mojo]] |accessdate=2008-07-29 }}</ref> na inamilikiwa katika kipindi kijulikanacho cha [[:en:Disney Renaissance|Mwamko wa Disney]].<ref>{{cite web |url= http://www.decentfilms.com/sections/articles/quovadisdisney.html |title = Disney: Notes on the end of the Disney Renaissance| publisher = decentfilms.com |accessdate=2008-08-26 }}</ref>
 
== Hadithi ==
Simba ni mtoto wa kiume wa Mufasa, na Mufasa ndiyo simba mfalme anayemiliki sasa ufalme uitwao Pride Rock. Lakini, ndugu mdogo wa Mufasa (Scar) anamwonea choyo Simba na Mufasa wanataka kumweka Mufasa kuwa kama mfalme wa ufalme hiyo. Scar hawezi kuwa mfalme isipokuwa akifa Mufasa na Simba. Scar akawa rafiki na fisi watatu na kuwaahidi kwamba atawapatia chakula endapo watamsaidia kumwua ndugu yake Mufasa na Simba na kuchukua mamlaka ya ufalme huo.
 
Scar na wale mafisi wakamtega Simba kule pembezoni mwa mto, mahali ambapo Scar akatuma midudu mikubwa ya mwituni iende kumwua. Mufasa akashitukia mpango huo kwamba mtoto wake yupo hatarini hivyo akaenda mbio kumwokoa. Akaruka chini kule kwenye eneo la fujo na kumvuta Simba nje kabla hajauawa na kumtupia juu ya jiwe ambapo atakuwa yupo salama. Hata hivyo, pale Mufasa alipokuwa akijaribu kupalamia jabali ili awe salama, Scar akaja kwa juu yake na kumsukumia chini ya lile jebali.
 
Hivyo Mufasa akaangukia ndani ya lile eneo la fujo na kufa. Scar bado akawa anajifanya anataka kupatana na Simba kabla Scar hajawa mfalme, na kujifanya kumweleza Simba kwamba kule kufa kwa Mufasa ni kosa lake. Hivyo ataondoka na asirudi tena. Halafu baadaye akaenda kuwaambia wale jamaa zake wa awali (fisi) waende kumwua Simba.
 
Wakawa wanamtoa mbio Simba hadi kule chini ya [[Mpungate|mipungate]], lakini bado Simba alitoweka. Mmoja kati ya wale fisi akajibwenga katika ile mipungate na kupiga kelele kuubwa. Simba bado akawa anamkimbia yule fisi mmoja (aitwaye Banzi) akawa anawaambia wenziwe waendelee kumkimbiza Simba, lakini Sheinzi, fisi wa pili (wa tatu wake ni [[bwege]] anaitwa Ed) akasema "Hakuna jinsi mimi ninakwenda kule! Unasemaje, unataka na mimi nije kuwa kama ''wewe'', Popo-Mpungate?!" Kwa hiyo wakamwachia Simba aende zake, huku wakiwa wanapiga zogo wakiwa kwa juu.
Mstari 49:
 
== Marejeo ==
{{marejeoMarejeo}}
 
== Viuongo vya nje ==
{{Wikiquote}}
* [http://web.archive.org/web/20060226230020/disney.go.com/disneyvideos/animatedfilms/lionking/index.html The Lion King]
* {{amgAmg movie|1:131171}}
* {{imdbIMDb title|0110357}}
* [http://imsdb.com/scripts/Lion-King,-The.pdf ''The Lion King'' working script] katika [[Internet Movie Script Database]].
 
{{Disney theatrical animated features}}
{{mbeguMbegu-filamu}}
 
[[Jamii:Filamu za 1994]]