Thomas More : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeondoa: diq:Thomas More (deleted)
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Hans Holbein d. J. 065.jpg|thumb|right|Thomas More]]
'''Mtakatifu Thomas More''' ([[7 Februari]], [[1478]] – [[6 Julai]], [[1535]]) alikuwa [[mwanasheria]] kutoka [[Uingereza]].
 
Ametambuliwa kuwa [[mtakatifu]] kama [[mfiadini]].
 
[[Sikukuu]] yake ni tarehe [[22 Juni]] kufuatana na kalenda rasmi ya Kanisa Katoliki, na [[6 Julai]] katika [[Kanisa la Anglikana]].
 
== Maisha ==
Thomas More alizaliwa katika [[mji]] wa [[London]] tarehe [[7 Februari]] mwaka 1478.
 
Alisoma katika [[Chuo Kikuu cha Oxford]] nchini [[Uingereza]], akaoa na kupata watoto wanne.
 
Aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mahakama wa Uingereza.
 
Aliandika vitabu kadhaa kuhusu mambo ya kiserikali, na vingine vya kutetea [[imani]] ya Kanisa Katoliki.
 
Pamoja na [[Mt. John Fisher]] alishindana na Mfalme [[Henri VIII]] kuhusu sUala la kuivunja ndoa ya huyo mfalme. Kwa amri ya Henri, wote wawili waliopinga kuvunjwa kwa ndoa yake walifungwa gerezani na kuuawa, kwanza John Fisher tarehe 22 Juni, halafu Thomas More tarehe [[6 Julai]], mwaka [[1535]].
 
==Sala yake==
 
Bwana mwema, utujalie neema ya kuyafanyia kazi yale tunayokuomba.
 
==Maandishi==
 
Tanbihi: The reference “CW” is to the relevant volume of the [[Yale Edition of the Complete Works of St. Thomas More]] (New Haven and London 1963–1997)
 
===Yaliyotolewa akiwa hai(mwaka)===
 
* ''A Merry Jest'' (c. 1516) (CW 1)
* ''[[Utopia (book)|Utopia]]'' (1516) (CW 4)
Line 41 ⟶ 38:
 
===Yaliyotolewa baada ya kifo chake(mwaka wa utungaji)===
 
* ''The History of King Richard III'' (c. 1513–1518) (CW 2 & 15)
* ''The Four Last Things'' (c. 1522) (CW 1)
Line 51 ⟶ 47:
 
==Tafsiri==
 
* ''Translations of Lucian'' (many dates 1506–1534) (CW 3, Pt.1)
* ''The Life of Pico della Mirandola'' (c. 1510) (CW 1)
Line 97 ⟶ 92:
{{Wikisource author}}
{{Commons category|Thomas More}}
* [http://thomasmorestudies.org/ The Center for Thomas More Studies] at the [[University of Dallas]]
* [http://www.thomasmore.co.uk Thomas More Chambers] – The Chambers of Mr [[Geoffrey Cox]] QC, MP.
* [http://www.thomasmorestudies.org/library.html Thomas More Studies database]: contains several of More's English works, including dialogues, early poetry and letters, as well as journal articles and biographical material
Line 111 ⟶ 106:
* {{worldcat id|id=lccn-n79-56176}}
* [http://www.findagrave.com/cgi-bin/fg.cgi?page=gr&GRid=6848 body] and [http://www.findagrave.com/cgi-bin/fg.cgi?page=gr&GRid=27568996 head] of Thomas More at [http://www.findagrave.com/ Find A Grave]
* [http://saints.sqpn.com/saint-thomas-more Patron Saints Index entry] – Saint Thomas More biography, prayers, quotes, Catholic devotions to him.
* [http://www.law.umkc.edu/faculty/projects/ftrials/more/more.html Trial of Sir Thomas More] at the [[University of Missouri-Kansas City]] (UMKC) School of Law
 
Line 117 ⟶ 112:
* [[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
 
{{mbeguMbegu-Mkristo}}
 
{{DEFAULTSORT:More, Thomas}}