Dola la Ujerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
masahihisho madogo
No edit summary
Mstari 7:
 
==Dola la Kaisari==
1871 nchi mbalimbali katika Ujerumani ziliungana chini ya uongozi wa Prussia baada ya ushindi katika vita dhidi ya Ufaransa wa 1870/71. Mfalme [[Wilhelm I wa Prussia]] alitangazwa kuwa [[Kaisari]] wa Kijerumani [[18 Januari]] [[1871]] mjini [[Versailles]] katika [[Ufaransa]].
 
Dola lilikuwa na katiba, serikali na bunge. [[Chansella]] wa kwanza alikuwa [[Otto von Bismarck]].