Underclassman : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza zh:校园威龙
Minor fix using AWB
Mstari 18:
| mapato = $5,655,459
}}
'''''Underclassman''''' ni filamu ya mwaka wa 2005 ambamo ndani yake ina mapigano na vichekesho. Filamu imeongozwa na [[Marcos Siega]], na waigizaji wake ni [[Nick Cannon]], [[Shawn Ashmore]], [[Roselyn Sánchez]], [[Kelly Hu]], [[Hugh Bonneville]], na [[Cheech Marin]]. Filamu ilitolewa mnamo tar. [[2 Septemba]], [[2005]], awali ilipanga itolewe kunako mwaka wa 2004.
 
==Hadithi==
Tracy (Trey) Stokes ([[Nick Cannon|Cannon]]) ni askari kanzu mwenye umri wa miaka 23-ambaye ametumwa kwenda kuchunguza kifo cha mwanafunzi wa shule ya Westbury High. Amekuja kuwa rafiki na Rob Donovan ([[Shawn Ashmore|Ashmore]]) na punde anagundua kama jamaa ana kawaida ya kuiba magari kwenye sherehe.
 
Karibia na mwisho, inagundulika kwamba mkuu wa shule ([[Hugh Bonneville|Bonneville]]) alikuwa akimtisha Donovan, na ndiye alikuwa mratibu mkuu wa uhalifu. Baada ya kupigwa chini kikosini na mkuu wa polisi ([[Cheech Marin|Marin]]), Trey ameweza kusaidia kesi kwisha (kwa msaada wa Donovan) na akarejeshwa kazini.
 
==Washiriki==
* [[Nick Cannon]] kama Tracy (Trey) Stokes
* [[Roselyn Sánchez]] kama Karen Lopez
* [[Kelly Hu]] kama Lisa Brooks
* [[Shawn Ashmore]] kama Rob Donovan
* Angelo Spizzirri kama David Boscoe
* [[Hugh Bonneville]] kama Headmaster Felix Powers
* [[Cheech Marin]] kama Captain Victor Delgado
 
==Mapokeo==
Mstari 38:
 
==Marejeo==
{{reflistMarejeo}}
 
==Viungo vya Njenje==
* {{officialOfficial|http://www.underclassmanthemovie.com/}}
* {{imdbIMDb title|0373416}}
* {{tcmdb title|id=53021}}
* {{Amg movie|291997}}
* {{rottenRotten-tomatoes|id=underclassman|title=Underclassman}}
* {{metacriticMetacritic film|id=underclassman|title=Underclassman}}
* {{mojoMojo title|id=underclassman|title=Underclassman}}
 
{{mbeguMbegu-filamu}}
 
[[Jamii:Filamu za 2005]]