Urusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza min:Rusia
Minor fix using AWB
Mstari 1:
{{For|matumizi mengine ya jina hili|Urusi (Zanzibar)}}
{{Infobox Countrycountry
|native_name = ''Российская Федерация<br />Rossiyskaya Federatsiya''<br />Shirikisho la Urusi
|common_name = Russia
|national_motto = none
|national_anthem = [[National Anthem of Russia|Hymn of the Russian Federation]]
|image_flag = Flag of Russia.svg
|image_coat =Coat_of_Arms_of_the_Russian_Federation.svg
|image_map = LocationRussia.png
|capital = [[Moscow]] |latd=55|latm=45|latNS=N|longd=37|longm=37|longEW=E
|largest_city = [[Moscow]]
|official_languages = [[Kirusi]]
|government_type = [[Jamhuri]], [[Shirikisho]]<br /> [[serikali ya kiraisi]]
|leader_titles = [[Marais wa Urusi|Rais]]<br />[[Waziri Mkuu]]
|leader_names = [[Dmitry Medvedev]]<br />[[Vladimir Putin]]
|sovereignty_type = [[Historia ya Urusi|Uhuru]]
|area = 17,075,400<!--http://www.gks.ru/scripts/free/1c.exe?XXXX09F.2.1/010000R-->
|areami² = 6,592,800
|area_rank = ya 1
|area_magnitude = 1 E12
|percent_water = 13<!--http://www.gks.ru/scripts/free/1c.exe?XXXX09F.2.1/010000R-->
|population_estimate = 142,400,000 <!--http://www.interfax.ru/e/B/politics/28.html?id_issue=11574942-->
|population_estimate_year = 2006
|population_estimate_rank = ya 7
|population_census = 145,164,000<!--http://www.eastview.com/all_russian_population_census.asp-->
|population_census_year = 2002
Mstari 28:
|population_densitymi² = 21.8
|population_density_rank = ya 209
|GDP_PPP_year = 2005
|GDP_PPP = $1.576 trillioni <!--http://www.imf.org/external/pubs/ft/weo/2006/01/data/dbcoutm.cfm?SD=2005&ED=2005&R1=1&R2=1&CS=3&SS=2&OS=C&DD=0&OUT=1&C=512-941-914-446-612-666-614-672-311-946-213-137-911-962-193-674-122-676-912-548-313-556-419-678-513-181-316-682-913-684-124-273-339-921-638-948-514-686-218-688-963-518-616-728-223-558-516-138-918-353-748-196-618-278-522-692-622-694-156-142-624-449-626-564-628-283-228-853-924-288-233-293-632-566-636-964-634-182-238-453-662-968-960-922-423-714-935-862-128-716-611-456-321-722-243-965-248-718-469-724-253-576-642-936-643-961-939-813-644-199-819-184-172-524-132-361-646-362-648-364-915-732-134-366-652-734-174-144-328-146-258-463-656-528-654-923-336-738-263-578-268-537-532-742-944-866-176-369-534-744-536-186-429-925-178-746-436-926-136-466-343-112-158-111-439-298-916-927-664-846-826-299-542-582-443-474-917-754-544-698&S=PPPWGT&CMP=0&x=25&y=12-->
|GDP_PPP_rank = ya 10<sup>1</sup>
|GDP_PPP_per_capita = $11,041<!--http://www.imf.org/external/pubs/ft/weo/2006/01/data/dbcoutm.cfm?SD=2005&ED=2005&R1=1&R2=1&CS=3&SS=2&OS=C&DD=0&OUT=1&C=512-941-914-446-612-666-614-672-311-946-213-137-911-962-193-674-122-676-912-548-313-556-419-678-513-181-316-682-913-684-124-273-339-921-638-948-514-686-218-688-963-518-616-728-223-558-516-138-918-353-748-196-618-278-522-692-622-694-156-142-624-449-626-564-628-283-228-853-924-288-233-293-632-566-636-964-634-182-238-453-662-968-960-922-423-714-935-862-128-716-611-456-321-722-243-965-248-718-469-724-253-576-642-936-643-961-939-813-644-199-819-184-172-524-132-361-646-362-648-364-915-732-134-366-652-734-174-144-328-146-258-463-656-528-654-923-336-738-263-578-268-537-532-742-944-866-176-369-534-744-536-186-429-925-178-746-436-926-136-466-343-112-158-111-439-298-916-927-664-846-826-299-542-582-443-474-917-754-544-698&S=PPPPC&CMP=0&x=18&y=9-->
|GDP_PPP_per_capita_rank = ya 62
|HDI_year = 2003
|HDI = 0.795
|HDI_rank = ya 62
|HDI_category = <font color="#FFCC00">medium</font>
|currency = [[Rubl]]
|currency_code = RUB
|time_zone =
|utc_offset = +2 to +12
|time_zone_DST =
|utc_offset_DST = +3 to +13
|cctld = [[.ru]], ([[.su]] reserved)
|calling_code = 7
|footnotes =<sup>1</sup> Rank based on AprilAprili 2006 IMF data
}}
 
'''Urusi''' (Россия ''Rossiya'') ni nchi ya [[Ulaya]] ya Mashariki na [[Asia]]. Mji mkuu ni [[Moscow]]. Ni nchi kubwa duniani kieneo. Kuna wakazi 144,000,000. Eneo lake ni 17,075,400 [[km²]].
 
Hadi [[1991]] Urusi ilikuwa sehemu ya [[Umoja wa Kisovyeti]] na kiini chake. Wakati ule iliitwa [[Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi]]. Urusi ilikuwa udikteta chini ya [[chama cha kikomunisti]]. Tangu 1990 imekuwa [[demokrasia]]. Muundo wa serikali ni [[shirikisho]] la jamhuri chini ya [[rais mtendaji]].
Mstari 60:
 
Sehemu kubwa ya Urusi ni tambarare penye vilima vidogo tu. Milima mirefu kuna katika kusini na mashariki ya Siberia.
 
=== Mito ===
Kati ya mito mikubwa kuna
* [[Volga]] ambayo ni mto mrefu wa Ulaya ukiishia katika [[Bahari ya Kaspi]]
* [[Dnepr]] unaoishia katika Nahari Nyeusi; ni njia ya maji muhimu
Line 75 ⟶ 76:
 
=== Miji mikubwa ya Urusi ===
Majiji mawili makuu ni [[Moscow]] na [[Sankt Peterburg]]. Sankt Peterburg ilikuwa mji mkuu kuanzia mwaka 1703 hadi 1918 kama makao makuu ya [[tsar]] au kaisari wa Urusi. 1924-1989 ikaitwa Leningrad kwa heshima ya kiongozi wa mapinduzi. Moscow ni mji mkuu wa kale iliyorudishwa nafasi yake baada ya mapinduzi ya kikomunisti ya 1918.
 
Miji mingine mikubwa ni pamoja na
 
* [[Novosibirsk]]
* [[Nizhniy Novgorod]]
Line 102 ⟶ 103:
Kubwa kati ya maeneo yale madogo ilikuwa utemi wa Moscow. Watemi wa Moscow walichukua nafasi ya kwanza kuunganisha Wasalvoni wa Mashariki dhidi ya Wamongolia na kupanusha utawala wao. Baada ya anguko la [[Konstantinopoli]] 1453 watawala wa Moscow walipokea cheo cha [[Kaisari]] wa Roma kilichoitwa "[[tsar]]" na kuwa cheo cha watawala wa Urusi hadi 1917.
 
Hadi karne ya 18 eneo ya Moscow ilikuwa tayari kubwa likabadilika kuwa Milki ya Kirusi iliyoendelea kupanua katika Siberia na Asia ya Kati. Sasa ilikuwa kati ya milki kubwa kabisa za historia ikienea kutoka [[Poland]] upande wa magharibi hadi bahari ya [[Pasifiki]] upande wa mashariki.
 
=== Matengenezo ya kisiasa chini ya Peter I ===
Tsar [[Peter I wa Urusi|Peter I]] (1689 - 1725) alitambua ya kwamba nchi yake ilikuwa nyuma kiteknolojia na kielimu kulingana na mataifa ya Ulaya. Alianzisha mabadiliko mengi ya kuiga mfano wa Ulaya ya Magharibi akahamisha mji mkuu kutoka Moscow kwenda mji mpya aliyounda sehemu ya magharibi ya milki yake akaiita [[Sankt Peterburg]].
 
Tangu Peter I nchi ilishiriki katika siasa ya Ulaya pamoja na vita vingi za Kiulaya. Mwanzo wa [[karne ya 19]] milki ikashambuliwa na [[Napoleon]] aliyeteka Moscow lakini Warusi walifaulu kuwafukuza maadui.
Line 113 ⟶ 114:
 
=== Mapinduzi za 1905 na 1917 ===
Mwanzoni wa karne ya 20 Urusi ikaonekana tena kuwa nyuma ya nchi za magharibi na sababu kuu ilikuwa nafasi kubwa ya serikali luu iliyojitahii kusimamia mabadiliko yote katika jamii na kuzuia mabadiliko iliyoonekana kama magumu machoni pa Tsar, makabaila na kanisa orthodoksi.
 
Mwaka 1904 upanuzi wa Urusi katika Asia uligongana na upanuzi wa Japan. Katika [[Vita ya Japani na Urusi ya 1905|vita dhidi ya Japani]] Urusi ilishindwa na tukio hili lilisabaisha mapinduzi ya Urusi ya 1905. Tsar [[Nikolas II wa Urusi|Nikolas]] alipaswa kukubali uchaguzi wa bunge la [[duma]] mara ya kwanza. Hata hivyo haki za duma zilikuwa chache na mabadiliko yalitokea polepole mno.
 
Urusi ilijiunga [[1914]] na [[vita kuu ya kwanza ya dunia]] ikisimama upande wa [[Uingereza]] na [[Ufaransa]] dhidi ya [[Ujerumani]] na [[Austria-Hungaria]]. Vita haikuenda vizuri, wananchi wakaona njaa na [[Mapinduzi ya Urusi ya 1917#Mapinduzi ya Februari 1917|mapinduzi ya Februari 1917]] ikamfukuza Tsar aliyejiuzulu. Vita ikaendelea na Wajerumani walizidi kusogea mbele. Serikali mpya ya bunge ikapinduliwa katika mwezi wa Oktoba 1917 na mapinduzi ya [[Bolsheviki]] chini ya kiongozi wao [[Vladimir Ilyich Lenin]].
 
=== Utawala wa kikomunisti na Umoja wa Kisovyeti ===
Line 124 ⟶ 125:
Kikatiba jamhuri hizi zote zilikuwa nchi huria lakini hali halisi zilitawaliwa zote kutoka makao makuu ya chama cha kikomunisti huko Moscow. Katiba hii ilipata umuhimu tangu 1989 wakati wa mwisho wa utawala wa Wakomunisti ambako jamhuri zote zilitafuta uhuru wao zikaachana na Umoja. Mji mku Sant Peterburg ukabadilishwa jina kuwa [[Leningrad]] na baadaye makao makuu ya nchi yakahamishwa tena kwenda Moscow.
 
Kiongozi aliyemfuata Lenin 1924 alikuwa [[Josef Stalin]] aliyeweza kugeuza utawala wa chama kuwa utawala wake mwenyewe akiongoza kwa jina la Katibu Mkuu wa chama cha kikomunisti.
 
1939 mwanzoni wa [[vita kuu ya pili ya dunia]] Stalin alipatana na Ujerumani wa Adolf Hitler kugawa maeneo ya Poland na [[nchi za Baltiki]] kati yao lakini 1941 Hitler alishambulia pia Umoja wa Kisovyeti. Warusi walipotea askari mamilioni lakini waliweza kuwazuia Wajerumani wasiteke Moscow na Leningrad. Kwa msaada wa [[Marekani]] Warusi waliweza kurudisha jeshi la Ujerumani na kusogea magharibi. Umoja wa Kisovyeti ikawa kati ya nchi washindi wa vita kuu ya pili.
Line 130 ⟶ 131:
=== Mashindano ya vita baridi dhidi ya Marekani ===
Tangu 1945 jeshi la Urusi lilikaa katika nchi zote za Ulaya ya Mashariki hadi katikati ya Ulaya. Katika nchi hozi zote serikali za kikomunisti zilianzishwa na kusimamiwa na ofisi kuu ya chama cha kikomunisti huko Moscow. Urusi ulikuwa kiongozi wa nchi za kijamii ilishindana katika [[vita baridi]] dhidi ya nchi za magharibi zilizoongozwa na Marekani. Athira ya Umoja wa Kisovyeti ilipanua hadi Afrika, Asia na [[Amerika ya Kati]] ambako nchi mbalimbali zilianza kuiga mtindo wa kikomunisti.
 
=== Kuachana kwa Umoja kwa Kisovyeti ===
Utawala wa kikomunisti uliendelea hadi mnamo mwaka 1990. Mwishoni matatizo ya kiuchumi yalizidi kwa sababu mfumo wa uchumi ulioongozwa moja kwa moja na serikali kuu pamoja na utaratibu wa kiimla uliozuia wananchi kupinga siasa ya viongozi na kuleta hoja tofauti ulisababisha tena nchi kubaki nyuma.
 
Tangu 1990 jamhuri kadhaa za Umoja wa Kisovyeti ziliondoka katika umoja na kutangaza uhuru wao ilhali serikali ilishindwa nguvu ya kuwazuia. Mwaka 1991 jamhuri wanachama za mwisho Urusi, Belarus na Ukraine ziliamua kumaliza Umoja wa Kisovyeti.
Line 140 ⟶ 141:
 
[[Dmitry Medvedev]] alichaguliwa kuwa rais wa Urusi mwaka 2008 na mtangulizi wake [[Vladimir Putin]] akawa waziri mkuu.
 
== Tovuti ==
{{commonsCommons category|Category:Russia}}
* [http://www.novokat.ru Economic data of Russia]
 
{{Ulaya}}
{{mbeguMbegu-jio-Urusi}}
 
[[Jamii:Urusi| ]]