Violeta Parra : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza he:ויולטה פארה
Minor fix using AWB
Mstari 10:
| Kazi yake = [[Mwanamuziki]],Mwanasiasa,Msanii
| Asili yake = [[San Carlos]],[[Chile]]
| Amezaliwa = 4 Oktoba, 1917
| Amekufa = 5 Februari 1967
| Miaka ya kazi = 1949-1965
Mstari 17:
 
==Historia==
'''Violeta Parra del Carmen Sandoval''' ([[4 Oktoba]], [[1917]] - [[5 Februari]], [[1967]]) alikuwa mwanamke mashuhuri na maarufu wa [[Chile]] .Alikuwa msanii wa hadithi na wa vitu vya kuonwa. Yeye ndiye aliyeweka msingi wa "New Song," ''La Nueva Cancion chilena'', mtindo mpya na bora wa kuimba hadithi za Kichile.Mtindo huu ungesambaa na kuenea huku ikishawishi watu wengine bali na Wachile tu.
 
==Wasifu==
Parra alizaliwa katika eneo la [[San Carlos]],katika mkoa wa Ñuble, mji mdogo uliokuwa kusini mwa [[Chile]]. Alikuwa mhusika katika harakati za maendeleo za Chama cha Socialist Party cha Chile. Yeye ndiye aliyerudisha ''Peña''(inayojulikana sasa kama ''La Peña de Los Parra''). Peña ni kituo cha jamii cha sanaa na harakati za kisiasa za kupinga dhuluma kwa raia. Baadhi ya watu hufikiri yeye ndiye aliyeanzisha Peña ya kwanza lakini katika rekodi za Shule ya Kifalme ya Lugha ya Kihispania,pahala kama hizi ziliitwa hivyo tangu mwaka wa 1936. Wakati wa serikali ya Rais [[Salvador Allende]] kulikuwa na maPeña kote nchini Chile. Hivyo basi zikapigwa marufuku na serikali ya kijeshi iliyotoa Allende na wenzake. Serikali mpya ikafanya wafungwa na wakimbizi wengi kutoka sekta za sanaa na masomo ya Chile. Hata hivyo, bado kuna maPeña mengi yanayoendelea kote Chile,[[America]],[[Amerika ya Kaskazini],[[Uropa]] na [[Australia]]. Watu katika maPeña haya wanaendelea kuerevusha na kusomesha jamii ya Wachile waliotoroka Chile baada ya mapinduzi ya kijeshi ya Septemba 11 Septemba 1973 iliyomtoa Rais Salvador Allende.
 
Violeta Parra alikuwa mmoja wa familia mashuhuri ya Parra. Kaka yake alikuwa mshairi mashuhuri wa kisasa, anafahamika zaidi kama "anti-mshairi", Nicanor Parra. Mwanawe, Angel Parra, na binti yake, Isabel Parra, walikuwa pia watu muhimu katika maendeleo ya ''Nueva Canción Chilena''. Watoto wao ,pia, wamejihusisha na mila ya sanaa katika familia yao.
Mstari 30:
== Diskografia ==
=== Albamu za Studio ===
* ''Chants et danses du chili. Vol. 1'' (1956)
* ''Chants et danses du chili. Vol. 2'' (1956)
* ''Violeta Parra, Canto y guitarra. El Folklore de Chile, Vol. I'' (1956)
* ''Violeta Parra, acompañada de guitarra. El Folklore de Chile, Vol. II'' (1958)
* ''La cueca presentada por Violeta Parra: El Folklore de Chile, Vol. III.'' (1958)
* ''La tonada presentada por Violeta Parra: El Folklore de Chile, Vol. IV.'' (1958)
* ''Toda Violeta Parra: El Folklore de Chile, Vol. VIII'' (1960)
* ''Violeta Parra, guitare et chant: Chants et danses du Chili.'' (1963)
* ''Recordandeo a Chile (Una Chilena en París).'' (1965)
* ''Carpa de la Reina'' (1966)
* ''Las últimas composiciones de Violeta Parra'' (1967)
 
=== Diskografia ya baada ya kifo ===
* ''Violeta Parra y sus canciones reencontradas en París'' (1971)
* ''Canciones de Violeta Parra'' (1971)
* ''Le Chili de Violeta Parra'' (1974)
* ''Un río de sangre'' (1975)
* ''Presente / Ausente'' (1975)
* ''Décimas'' (1976)
* ''Chants & rythmes du Chili '' (1991)
* ''El hombre con su razón'' (1992)
* ''Décimas y Centésimas'' (1993)
* ''El folklore y la pasión'' (1994)
* ''Haciendo Historia: La jardinera y su canto'' (1997)
* ''Violeta Parra: Antología'' (1998)
* ''Canciones reencontradas en París'' (1999)
* ''Composiciones para guitarra'' (1999)
* ''Violeta Parra - En Ginebra, En Vivo, 1965'' (1999)
* ''Violeta Parra: Cantos Campesinos'' (1999)
 
==Masomo zaidi==
* Moreno, Albrecht: "Violeta Parra and 'La Nueva Canción Chilena.'" Kitabu kuhusu tamaduni mbalimbali za Amerika ya Kilatini 5 (1986): 108—26.
 
==Marejeo==
# ^ Mena, Rosario. "Eduardo Parra: My Sister Violetta Parra". http://www.nuestro.cl/eng/stories/profiles/lalo_parra.htm.
 
==Viungo vya nje==
* [http://www.violetaparra.scd.cl/ Violeta Parra]
* [http://www.nuevacancion.net/violeta/ Diskografia]
* [http://www.lajiribilla.cu/musica/grammy/issacgraciasalavida.rm Issac 2001 Toleo la Triptych ya wimbo ''Gracias A la Vida'']
* [http://www.sreyes.org/vpremember.htm Makumbusho ya Violeta Parra]
* [http://www.findagrave.com/cgi-bin/fg.cgi?page=gr&GRid=7943993 Kaburi ya Violeta Parra]