Yohane Baptista de La Salle : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Robot: Modifying vi:Gioan Lasan to vi:Gioan La San
Minor fix using AWB
Mstari 2:
[[File:Église Saint-Jean-Baptiste-de-la-Salle (Paris) 15.jpg|thumb|right|200px|Sanamu yake katika [[kanisa]] la Jean-Baptiste de La Salle, [[Paris]].]]
[[File:John baptist de la salle-relics.jpg|thumb|right|200px|Masalia yake katika [[makao makuu]] ya shirika mjini [[Roma]], [[Italia]].]]
Yohane Baptista de la Salle (kwa [[Kifaransa]] Jean-Baptiste de La Salle) alizaliwa [[Reims]], [[Ufaransa]], tarehe [[30 Aprili]] [[1651]] akafariki [[Saint-Yon]], [[Rouen]], [[Ufaransa]], tarehe [[7 Aprili]] [[1719]].
 
Alikuwa [[padri]] wa [[Kanisa Katoliki]] na [[mlezi]] wa vijana wengi, ambaye kwa ajili yao alianzisha shirika la [[Mabradha wa Shule za Kikristo]]. Anahesabiwa [[mwanzilishi]] wa [[shule Katoliki]] duniani.
De La Salle anahesabiwa pia kuwa wa kwanza kuendesha [[chuo cha ualimu]] ([[1685]]).
 
Anaheshimiwa kama [[mtakatifu]] na [[msimamizi]] wa [[walimu]]. [[Sikukuu]] inaadhimishwa kila tarehe 7 Aprili au 15 Mei 15.
 
== Maisha ==
Akifuata njia ya [[upadri]] tangu utotoni, alimaliza masomo na kupata [[upadirisho]] tarehe [[9 Aprili]] [[1678]].
 
Akifuata njia ya [[upadri]] tangu utotoni, alimaliza masomo na kupata [[upadirisho]] tarehe [[9 Aprili]] [[1678]].
 
Miaka miwili baadaye alipata [[udaktari]] wa [[teolojia]].
Line 32 ⟶ 31:
 
==Tanbihi==
{{Marejeo}}
 
{{Reflist}}
 
==Viungo vya nje==
 
* [http://www.lasallian.info/template/page.cfm?id=151 Complete works of St John Baptist de La Salle] PDF format
* [http://www.lasalle.org/ De La Salle Christian Brothers worldwide] official website