Wangari Maathai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza jv:Wangari Maathai
Minor fix using AWB
Mstari 2:
[[Picha:Wangari Maathai.jpg|thumb|Wangari Maathai akipokea tuzo kutoka Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu ya Kenya]]
 
'''Wangari Muta Maathai''' (1 Aprili 1940 – 25 Septemba 2011) alikuwa mwanaharakati wa masuala ya mazingira na haki za wanawake kutoka nchini [[Kenya]]. Mwaka wa 2004 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Amani]]'''.<ref>Gettleman, Jeffrey. [http://www.nytimes.com/2011/09/27/world/africa/wangari-maathai-nobel-peace-prize-laureate-dies-at-71.html?scp=1&sq=wangarai%20maathai&st=cse "Wangari Maathai, Nobel Peace Prize Laureate, Dies at 71,"] ''New York Times'' (US). September26 26,Septemba 2011; Abudulai, S.M. [http://accra-mail.com/index.php?option=com_content&view=article&id=39421:tribute-to-wangari&catid=80:mainnews&Itemid=209 "Tribute to Wangari,"] ''The Mail'' (Ghana). 4 OctoberOktoba 2011.</ref> Yeye ni mwanamke Mwafrika wa kwanza kupokea tuzo hilo. Pia, aliwahi kuwa mbunge wa Kenya na waziri msaidizi katika serikali ya [[Mwai Kibaki]] kati ya Januari 2003 hadi Novemba 2005.
 
Katika maandalizi ya [[Uchaguzi wa Ubunge na Urais 2007|uchaguzi wa 2007]] Maathai alisimama upande wa rais Kibaki lakini hakuteuliwa na chama cha ''[[Party of National Unity (Kenya)|PNU]]'' akagombea kwa chama cha Mazingira Green Party lakini hakurudi bungeni.
Mstari 11:
 
=== Shirika la GBM ===
 
Mwaka wa 1977, Maathai alianzisha shirika la [[Green Belt Movement]] ambalo linajihusisha hasa na mazingira, haki za raia na demokrasia.
 
=== Ndoa na familia ===
 
Mwaka wa 1969, Wangari Muta (jina lake la kuzaliwa) alifunga ndoa na Mwangi Maathai, mwanasiasa wa Kenya. Wana watoto watatu, Waweru, Wanjira na Muta, lakini walitengana baadaye.
 
== Marejeo chini ya ukurasa ==
{{marejeoMarejeo}}
 
{{Mbegu-mwanasiasa}}