Tyra Banks : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza war:Tyra Banks
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Tyra Banks(Cannes).jpg|right|thumb|Tyra Banks]]
'''Tyra Lynne Banks''' aliyezaliwa Desemba 4, Desemba 1973 nchini [[Marekani]] ni mwigizaji, mwanamitindo, mfanyibiashara na pia mwimbaji.<ref>{{cite web|url= http://movies.msn.com/celebrities/celebrity-biography/tyra-banks/|title=Tyra Banks:Biography on MSN|author=Jason Clark|accessdate=2008-07-18|date=2008|publisher=[[MSN]]}}</ref><ref>{{cite web|url= http://abcnews.go.com/GMA/BeautySecrets/story?id=1280787|title= ABC News: Tyra Banks Experiences Obesity Through Fat Suit<!-- Bot generated title -->}}</ref><ref>{{cite web|url= http://www.forbes.com/free_forbes/2006/0703/120.html|title= Tyra Banks On It - Forbes.com<!-- Bot generated title -->}}</ref> Alipata umaarufu kama mwanamitindo alipokuwa kwenye miji ya [[Paris]], [[Milan]], [[London]], [[Tokyo]] na [[New York]]. Banks ni mbunifu na mtangazaji mkuu wa kipindi cha ''America's Next Top Model''. Yeye pia ni mbunifu wa ''True Buauty'' na mtangazaji wa kipindi cha mahojiano cha ''The Tyra Banks Show''.
 
== Maisha yake ==
Mstari 7:
== Kazi yake ==
=== Mwanamitindo ===
Tyra alianza uanamitindo alipokuwa darasa la 11.<ref>{{cite web|url= http://www.nytimes.com/2008/06/01/magazine/01tyra-t.html?ei=5124&en=6a5e98a9634a54f6&ex=1369972800&partner=permalink&exprod=permalink&pagewanted=all|title= Banksable|first = Lynn|last = Hirschberg|publisher = New York Times|date= June 1, Juni 2008}}</ref> Baadaye, alienda mjini [[Paris]] kwa ajili ya kufanya kazi hii. Katika wiki yake ya kwanza mjini [[Paris]], Tyra alipata umaarufu na mafanikio yaliyovunja rekodi kwani ilikuwa mwanzo wake katika uanamitindo. Yeye alishirikiana Anna Sui, CoverGirl, Badgley Mischka, Bill Blass, Chanel, Christian Dior, Dolce & Gabbana, H&M, McDonald's, Pepsi, Nike, Victoria's Secret na Yves Saint Laurent. Yeye ameonekana kwenye majalada maarufu kama ''Vogue'', ''Harper's Bazaar'', ''Cosmopolitan'' na ''Elle''. Mnamo 1997, Tyra alipokea tuzo la ''VH1 Award for Supermodel of the Year''. Mwaka huo huo, yeye alikuwa Mwamerika mweusi wa kwanza kutokea kwenye kasha ya jalada la ''Victoria's Secret''.<ref>http://findarticles.com/p/articles/mi_m1077/is_n7_v52/ai_19383832/</ref>
 
=== Filamu na televisheni ===
Banks alianza kuigiza kwenye msimu wa nne wa kipindi cha ''The Fresh Prince of Bel-Air'' ambapo aliigiza kama Jackie Ames. Aliigiza kwenye vipindi kama ''Felicity'', ''MADtv'' na ''The Price Is Right''
 
Hivi sasa yeye ana kipindi cha mahojiano cha ''The Tyra Banks Show'', kilichoanza mnamo Septemba 12, Septemba 2005. Vilevile, yeye ni hakimu kwenye kipindi cha ''America's Next Top Model''. Mnamo 2008, Banks alishinda tuzo la ''Daytime Emmy Award'' kwa kazi yake kwenye ''The Tyra Banks Show''.
 
Banks amesema kuwa ataigiza kama Ursula Nyquist kwenye kipindi cha ''Gossip Girl'' msimu wa tatu.<ref>http://www.usmagazine.com/news/tyra-banks-joining-gossip-girl-2009317}}</ref>
Mstari 91:
 
== Marejeo ==
{{reflistMarejeo}}
 
== Viungo vya nje ==
* {{imdbIMDb name|id=0004723|name=Tyra Banks}}
* {{Amg name|195112}}
* {{people.com|Tyra Banks}}