Thriller : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza mk:Thriller (албум)
Minor fix using AWB
Mstari 1:
{{makalaMakala nzuri sana}}
{{Infobox Album album
| Jina = Thriller
| Type = studio
| Msanii = [[Michael Jackson]]
| Cover = Michaeljacksonthrilleralbum.jpg
| Imetolewa = November 30, Novemba 1982
| Imerekodiwa = [[14 Aprili]]&nbsp;– [[8 Novemba]], [[1982]] <br />[[Westlake Recording Studios]] <br /><small>([[Los Angeles]], [[California]])</small>
| Aina = [[R&B]], [[muziki wa pop|pop]], [[muziki wa rock|rock]]
| Urefu = 42:19
Mstari 12:
| Mtayarishaji = Michael Jackson<br />[[Quincy Jones]]
| Review =
* [[Allmusic]] {{ratingRating|5|5}}
* [[Robert Christgau]] (A-)
* ''[[Melody Maker]]'' (unfavorable) 1982
* ''[[Q (magazine)|Q]]'' {{Rating|5|5}}<ref name="Q">{{cite journal |title=Review: ''Thriller'' |journal=[[Q (magazine)|Q]] |issue=JanuaryJanuari 2000 |page=138}}</ref>
* ''[[Rolling Stone]]'' {{Rating|4|5}}
* ''[[Slant (magazine)|Slant]]'' {{Rating|5|5}}
* [[Stylus Magazine|Stylus]] (favorable)<ref>{{cite web |first=Tal |last=Rosenberg |title=Review: ''Thriller'' |url=http://www.stylusmagazine.com/articles/diamond/michael-jackson-thriller.htm |publisher=[[Stylus Magazine]] |accessdate=13 JuneJuni 2009|date=19 JuneJuni 2007}}</ref>
* ''[[The New York Times]]'' (favorable)
| Albamu iliyopita = ''[[Off the Wall]]''<br />(1979)
Mstari 27:
| Type = studio
| Single 1 = [[The Girl Is Mine]]
| Single 1 tarehe = [[18 Oktoba]], [[1982]]
| Single 2 = [[Billie Jean]]
| Single 2 tarehe = [[3 Januari]], [[1983]]
| Single 3 = [[Beat It]]
| Single 3 tarehe = [[14 Februari]], [[1983]]
| Single 4 = [[Wanna Be Startin' Somethin']]
| Single 4 tarehe = [[Mei 8 Mei]], [[1983]]
| Single 5 = [[Human Nature]]
| Single 5 tarehe = [[3 Julai]], [[1983]]
| Single 6 = [[P.Y.T. (Pretty Young Thing)]]
| Single 6 tarehe = [[19 Septemba]], [[1983]]
| Single 7 = [[Thriller (wimbo)|Thriller]]
| Single 7 tarehe = [[23 Januar]], [[1984]]}}
Mstari 48:
}}
 
'''''Thriller''''' ni albamu ya sita kutoka kwa msanii wa rekodi wa [[Marekani|Kimarekani]] [[Michael Jackson]]. Albamu ilitolewa mnamo tar. [[30 Novemba]], [[1982]] katika studio ya [[Epic Records]]. Hili toleo la pili la albamu lililopata mafanikio makubwa baada ya ile ya mwaka 1979, ''[[Off the Wall]]''. ''Thriller'' imefanywa aina sawa na ile ya ''Off the Wall'', ikiwemo [[funk]], [[disco]], [[muziki wa soul|soul]], [[soft rock]], [[R&B]] na [[muziki wa pop|pop]]. Hata hivyo, mashairi ya ''Thriller''' yanadili sana na mambo ya giza, ikiwemo na vitisho na uchawi.
 
Albamu ulitumia bajeti ya matayarisho yake kwa [[Dola ya Marekani|Dola ya US$]]750,000. Kazi ya kurekodi ilichukua nafasi kati ya Aprili na Novemba 1982 kwenye studio ya [[Westlake Recording Studios]] ya mjini [[Los Angeles]], [[California]]. Albamu ilisaidiwa na [[mtayarishaji wa rekodi|mtayarishaji]] [[Quincy Jones]], Jackson ametunga nyimbo nne katika nyimbo tisa za albamu ya ''Thriller'''. Kwa kufuatia kutolewa kwa single ya kwanza kutoka katika albamu, "[[The Girl Is Mine]]", kukawa na baadhi ya watafiti waliofikiria kwamba albamu ya ''Thriller'' itakuwa na rekodi ndogo.
Mstari 58:
''Thriller'' imepelekea kumpa Jackson hadhi ya kuwa nyota mkali wa pop wa karne ya 20, na kumwezesha kuuvunja ukuta wa ubaguzi wa rangi kwa kupitia kuonekana kwake kwenye [[MTV]] na kukutana na [[Orodha ya Marais wa Marekani|Rais]] [[Ronald Reagan]] katika ikulu ya Marekani, [[White House]]. Albamu hii ni moja kati ya albamu zilizotumia [[muziki wa video]] kupata mafanikio makubwa kabisa ya promosheni—video hizo ni pamoja na "[[Thriller (muziki wa video)|Thriller]]", "[[Billie Jean]]" na "[[Beat It]]" ambazo zote zilipata mzunguko wa kawaida kwenye MTV.
 
Mnamo mwaka wa 2001, toleo maalumu la albamu lilitolewa, ambalo limejumlisha baadhi ya mahojiano ndani yake, demo rekodi na wimbo wa "Someone In the Dark", ambao ulijishindia tuzo-Grammy kutoka katika hadithi ya kitabu cha ''[[E.T. the Extra-Terrestrial]]''.<ref>{{cite web |url=http://www.grammy.com/GRAMMY_Awards/Winners/Results.aspx?title=&winner=Michael+Jackson&year=0&genreID=0&hp=1|title=Grammy Award Winners |publisher=The Recording Academy |accessdate=February 14, Februari 2008}}</ref> Mnamo mwaka wa 2008, albamu ilitolewa tena upya ikiwa kama ''[[Thriller 25]]'', ikiwa imeambatana na re-mix za nyimbo kadhaa ambazo zimeshirikisha wasanii kadhaa wa R&B, baadhi ya nyimbo ambazo awali hazikutolewa na [[DVD]].
 
''Thriller'' imepata namba 20 kwenye gazeti la ''[[Rolling Stone]]'' 500&nbsp;Albamu Bora ya Muda ya Karne mnamo 2003, na ikaorodheswa na [[National Association of Recording Merchandisers]] ikiwa nafasi ya tatu ya albamu Albamu Kali&nbsp;200&nbsp;za Karne.
 
== Historia ==
Albamu iliyopita ya Jackson ''[[Off the Wall]]'' (1979) ilipata mafanikio makubwa na kupewa nyota kadhaa katika ripoti ya mafanikio yake.<ref name="AMG OTW">{{cite web |first=Stephen |last=Erlewine |url=http://www.allmusic.com/cg/amg.dll?p=amg&sql=A7cu1z85ajyv6 |title=Off the Wall Overview |publisher=Allmusic |accessdate=June15 15,Juni 2008}}</ref><ref name="RS OTW">{{cite news|first=Stephen |last=Holden |url=http://www.rollingstone.com/reviews/album/259585/review/6067502/off_the_wall |title=Off the Wall : Michael Jackson |work=[[Rolling Stone]] |date=November1 1,Novemba 1979 |accessdate=July23 23,Julai 2008}}</ref> Pia ilipata mafanikio makubwa sana kibiashara, na ikatokea kuuza nakala zaidi ya milioni 20 duniani kote.<ref name="Off the Wall 20 million">{{cite web |url=http://www.virginmedia.com/music/classicalbums/michaeljackson-offthewall.php |title=Michael Jackson: Off the Wall - Classic albums - Music - Virgin media |publisher=[[Virgin Media]] |accessdate=December12 12,Desemba 2008}}</ref></small> Miaka kati ya ''Off the Wall'' na ''Thriller'' kilikuwa kipindi cha mpito cha mwimbaji huyu, ulikuwa muda wa kuongeza uhuru na kuiangaikia familia yake. Pale Jackson alivyofikisha umri wa miaka 21 mnamo mwezi wa Agosti 1979, akamtimua baba yake kazini, [[Joseph Jackson]] kuwa kama meneja wake na kumweka Bw. John Branca.<ref>Taraborrelli, p. 190</ref>
 
Baada ya kumtimua mzee wake, Jackson akamwakikishia Branca kwamba anataka kuwa "nyota mkubwa katika biashara ya maonyesho" na "tajiri mkubwa". Michael alijisikia unyonge kuhusu kile alichokipata katika uchakalikaji wa chini wa albamu yake ya ''Off the Wall'', alieleza, "Ilikuwa sio vizuri kabisa yaani albamu haikupata hata tuzo ya Grammy ya [[:en:Grammy Award for Record of the Year|Rekodi Bora ya Mwaka]] na haitotokea tena.
 
Pia akajisikia anathamani kabisa katika soko la muziki; mnamo mwaka wa 1980 pale Jackson alipomwomba mchapishaji wa ''Rolling Stone'' endapo watapenda kusanifisha kasha ya hadithi inayomuhusu yeye, mchapishaji akakataa, ambamo Jackson alijibu na kusema kwamba, "Nilishaambiwa tena na tena kwamba watu weusi katika kava la magazeti hawauzi nakala kabisaa&nbsp;... Ngoja kwanza. Ipo siku hayo magazeti yatakuja ''kuniomba'' kwa ajili ya mahojiano. Labda nitawapatia jibu moja. Na labda nisiwapatie."<ref name = "tara 191">Taraborrelli, p. 191</ref>
 
Mnamo mwaka wa 1973, baba wa Jackson ameanzisha mahusiano ya kimapenzi ya siri na mwanamke mwenye umri wa miaka 20&nbsp;kiumri ni mdogo kuliko yeye; wawili hao wakapata mtoto kisiri. Mnamo mwaka wa 1980, Joseph Jackson akawaelezea familia yake kuhusu mahusiano yake na mtoto aliyemzaa. Jackson, akawa keshakasirishwa na baba yake juu ya udhalilishaji wake wa utoto, na kujisikia kama amesalitiwa na Joseph Jackson kwa miaka mingi.<ref>Taraborrelli, p. 196</ref>
 
Pindi ambapo anamwona Michael, anakuwa hana furaha kibisaa; Jackson alielezea, "Hata nikiuwa nyumbani, Nakuwa mpweke. Huwa ninakaa chumbani kwangu na kuanza kulia. Ni vigumu sana kuwa na marafiki&nbsp;... Kuna kipindi pia natembelea majirani nyati za usiku, nikiwa na matumani ya kumpata japo mtu wa kuongea naye. Lakini inaishia nikiwa narudi nyumbani."<ref>Taraborrelli, p. 206</ref>
Mstari 78:
Mahusiano ya baina ya Jackson na Jones yakawa mazuri mno wakati wa kurekodi albamu. Jackson ametumia muda wake mwingi wa kufanya mazoezi ya kucheza akiwa peke yake. Pale nyimbo tisa za albamu zilipomalizika, wote wawili, yaani Jones na Jackson walikuwa hawana furaha na matokeo ya kurejea kila wimbo (kufanya remix zake), walitumia wiki nzima katika kila wimbo mmoja. Jones aliamini kwamba "Billie Jean" haukuwa wimbo mkali kivile na kuwekwa pamoja kwenye albamu, lakini Jackson hakubaliana na hilo na kupelekea kuuweka kwenye albamu. Jones akamweleza Jackson kwamba ''Thriller'' isingeuza vizuri kama jinsi ilivyofanya ''Off the Wall'', kwa sababu kwa kipindi hata soko lenyewe lilikuwa dhaifu mno. Matokeo yake, Jackson akatishia kufuta wazo la kutoka kwa albamu hii
 
Jackson aliunda albamu kwa kuwa alikuwa akiamini kwamba "kila wimbo ni mkali," kama jinsi alivyofanya [[Pyotr Ilyich Tchaikovsky|Tchaikovsky]] na kazi yake ya ''The Nutcracker'', na kutengeneza albamu ya ''Thriller'' kwa mtazamo huo.<ref>''Ebony Magazine'': Michael: 25 Years After Thriller, DecemberDesemba 2007, pg. 97–98</ref><ref name="jessejackson">{{cite interview|first=Michael|last=Jackson|interviewer=Jesse Jackson|date=MarchMachi 2005}}</ref> Jones a mtunzi wa nyimbo [[Rod Temperton]] walitoa maelezo yao juu ya kilichotokea katika toleo la pili la albamu la mwaka wa 2001. Jones alijadili kuhusu "Billie Jean" na kwa nini Jackson aliichukua jambo hili kama binafsi sana, ambaye katahabika na idadi kubwa ya mashabiki wenye unyonge. Jones alitaka pale mwanzoni mwa wimbo kufupishwe; lakini, Jackson akang'ang'ania pabakie kwa sababu kumefanya aweze kucheza.<ref name="The Thriller Special Edition Audio">Jackson, Michael. ''Thriller Special Edition'' Audio.</ref>
 
Kwa kufuatia utata uliokuwa ukiendelea dhidi ya mtindo wa [[disco]] umepelekea kubadilisha mwelekeo mwingine wa muziki ili isiwe ya disko zito kama vile ilivyokuwa katika ''Off the Wall''.
Jones na Jackson wakadhamiria kutengeneza wimbo wa [[muziki wa rock|rock]] ambao utakata lufaa na kutumia mawiki kadhaa na kuanza kumtafuta mpiga gitaa mzuri aliyeweza kufanya kwa ajili wimbo wa "Beat It", wimbo ambao Jackson ametunga na kupiga ngoma zake. Kwa bahati, wakampata [[Eddie Van Halen]] wa bendi ya rock ya [[Van Halen]].<ref name="The Thriller Special Edition Audio"/><ref name="Thriller cast interview">{{cite web |url=http://www.telegraph.co.uk/arts/main.jhtml?xml=/arts/2007/11/25/sv_thriller.xml |title=Michael Jackson's Monster Smash |publisher=''The Daily Telegraph'' |date=November 25, Novemba 2007|accessdate=April 20, Aprili 2008}}</ref>
 
Wakati Rod Temperton ametunga wimbo wa "[[Thriller (wimbo)|Thriller]]", alinuia kabisa auite "Starlight" au "Midnight Man" lakini ukabaki katika "Thriller" kwa sababu alihisi jina lingekuwa na nguvu ya kibiashara zaidi. Daima anamtaka mtu maarufu amalizie kutaja maishairi ya mwishoni, ndiyo Temperton akamleta mwigizaji [[Vincent Price]], ambaye alimalizia sehemu yake kwa michukuo miwili tu. Temperton ametunga kisehemu cha kuongea akiwa kwenye taxi kuelekea studio. Jones na Temperton walisema kwamba baadhi ya rekodi ziliachwa kumaliziwa kwa sababu hawakuwa na mapambo tena kwa ajili ya nyimbo za albamu nyingine.
Mstari 87:
== Muziki ==
Kwa mujibu wa Steve Huey wa [[Allmusic]], ''Thriller'' imesafisha uwezo wa albamu iliyopita ya Jackson, ''Off the Wall''; dansi na nyimbo za rock zenyewe zilikuwa za fujo mno, wakati tuni na ballad zilikuwa laini na za hisia kali. Nyimbo kali ambazo zimejumlisha ballad ni pamoja na "The Lady in My Life", "[[Human Nature]]", na "[[The Girl Is Mine]]"; vipande vya funk ni "[[Billie Jean]]" na "[[Wanna Be Startin' Somethin]]'"; na seti ya disco ni "Baby Be Mine" na "[[P.Y.T. (Pretty Young Thing)]]".<ref name="AMG Thriller"/><ref name="RS Thriller"/><ref name="Slant Thriller">{{cite web |first=Eric |last=Henderson |url=http://www.slantmagazine.com/music/music_review.asp?ID=358
|title=Michael Jackson: Thriller |publisher=''Slant Magazine'' |year=2003 |accessdate=June 15, Juni 2008}}</ref> "1982 na ina milio sawa na maujanja yaliwemo kwenye ''Off The Wall''. Wimbo unasindikizwa na besi na ngoma nzuri kwa nyuma kipande cha kati, kuna sauti inapanda kidogo ambayo ina maneno ya [[Kiswahili]], na kuipa wimbo ladha ya kimataifa.<ref name="tara 223–225">Taraborrelli, pp. 223–225</ref> "The Girl Is Mine" inaelezea kuhusu marafiki wawili wanaogombania mwanamke, wakibishana kuwa nani anampenda zaidi na kuishiana kwa mazungumzo ya rap.<ref name="Thriller cast interview"/><ref name="tara 223–225"/>
 
Licha ya kuwa na ladha ya pop laini katika rekodi hizi mbili, ''Thriller'', imezidi sana kuliko hata ''Off the Wall'', inaonyesha vitu vikali vijavyo na chembechembe za uhusika ambao Jackson angeutumia katika kazi zake za baadaye.<ref name=NYTimes2>{{cite news |first=Jon |last=Pareles |title=Critic's Notebook; How Good Is Jackson's 'Bad'? |date=SeptemberSeptemba 1987 |publisher=''The New York Times'' |url=http://query.nytimes.com/gst/fullpage.html?res=9B0DE1DC1F38F930A3575AC0A961948260&n=Top%2fReference%2fTimes%20Topics%2fPeople%2fJ%2fJackson%2c%20Michael |accessdate= April19 19,Aprili 2007}}</ref> Akiwa na ''Thriller'', Jackson ameweza kuanzisha jumuia yake yenye athira na mandhari ya kutisha na mitazamo ya nguvu za giza, yaani, mambo ya majini-majini. Haya yameshuhudiwa kwenye nyimbo kama vile "Billie Jean", "Wanna Be Startin' Somethin'" na "Thriller".<ref name="AMG Thriller">{{cite web |first=Stephen |last=Erlewine |url=http://www.allmusic.com/cg/amg.dll?p=amg&sql=A9kqog44ttvjz |title=Thriller Overview |publisher=Allmusic |date=February 19, Februari 2007|accessdate=June15 15,Juni 2008}}</ref> Katika "Billie Jean", Jackson anaimba kuhusu mshabiki ambaye anamtuhumu kwamba amezaa naye mtoto; kwenye "Wanna Be Startin' Somethin'" anabishana na masuala ya umbye na vyombo vya habari.<ref name="RS Thriller">{{cite web |first=Christopher |last=Connelly |url=http://www.rollingstone.com/artists/michaeljackson/albums/album/303823/review/6067536/thriller |title=Michael Jackson: Thriller |publisher=''Rolling Stone'' |date=January 28, Januari 1983|accessdate=June15 15,Juni 2008}}</ref> Wimbo unaanza na besi refu na ngoma. Katika wimbo wa "Thriller", vionjo vya sauti kama vile vya mlango kufunguka, ngurumo ya radi, miguu inayosikika ikitembea kule mitini, upepo na milio ya mbwa inaweza kusikika.
 
Kundi la kupambana na vurugu la katika "Beat It" limekuwa heshima kubwa kwa ''[[West Side Story]]'', na ndiyo ulikuwa wimbo wa kwanza wa Jackson kupata mafanikio makubwa kabisa kwa staili ya rock cross-over.<ref name=allmusic/><ref name="rollingstone">{{cite web|url=http://www.rollingstone.com/artists/michaeljackson/biography|title=Michael Jackson: Biography|publisher=''The New Rolling Stone Album Guide''|year=2004|accessdate=February 14, Februari 2008}}</ref> Baadaye Jackson alielezea kuhusu "Beat It", "suala ni kwamba hakuna mtu yoyote kuwa yeye ndiyo kidume, unaweza ukakaa mbali na ugomvi na bado ukawa mwanaume. Huna haja ya kuwa ili kuhakiki kama wewe ndiyo kidume". "Human Nature" ni wimbo wa hisia kali na kianzio cha adabu.
 
Kunako miaka ya 1970, uwezo wa uimbaji wa Jackson ulikuwa ukitazamika vyema sana; Allmusic walimwelezea kama "mwimbaji aliyeneemeshwa bila kutazama". ''Rolling Stone'' wanaifananisha sauti yake na mkongwe [[Stevie Wonder]]. Tafiti zao zilionyesha kwamba sauti ya "Jackson" ni laini kupita kiasi na nzuri ajabu. Inateleza taratibu mno na kuanza kwa sauti ya madaha". Pamoja na kutolewa kwa ''Thriller'', Jackson angeweza kuimba taratibu—chini kabisa ya C—lakini kapendekeza kuimba sauti ya juu kwa sababu pop anayoimba yeye ina njia kibao ya kuunda staili mpya. ''Rolling Stone'' pia walitoa maoni yao juu ya Jackson kwamba alikuwa akiimba kwa "sauti ya kukubwa sana" ambayo ilikuwa ina "kiasi cha uzuni".<ref name=autogenerated1>{{cite news |first=Christoper |last=Connelly |url=http://www.rollingstone.com/artists/michaeljackson/albums/album/303823/review/6067536/thriller |title=Michael Jackson: Thriller |work=[[Rolling Stone]] |date=January 28, Januari 1983 |accessdate=July 23, Julai 2008}}</ref> "P.Y.T. (Pretty Young Thing)", ulipendekezwa n [[James Ingram]] na Quincy Jones, na "Lady in My Life" na Rod Temperton, zote mbili zimeipa albamu mwelekeo imara wa R&B. Jackson akawa keshaanza kutafuta sauti ambayo atautumia (sauti ya kama kwi-kwi) ambayo aliendelea nayo hadi kwenye ''Thriller''. Dhumuni la kuweka hiccup (kama kwi-kwi) ni kutaka kuleta hisia fulani; kuvutia watu, uzuni na uwoga fulani.<ref name = "Nelson George overview 22">George, p. 22</ref>
 
== Kutoka na mapokeo ==
 
== Athira na urithi wake ==
=== Tasnia ya muziki ===
[[Blender (jarida)|''Blender'']] wanamweleza Jackson kama "mkali wa muziki wa pop kwa karne ya ishirini", wakati ''The New York Times'' wametoa wazo la kwamba alikuwa "mtu wa ajabu kimuziki", na kwa maana hiyo "katika ulimwengu wa pop yeye ni wa kipekee, kuna Michael Jackson na kuna wengineo kibao".<ref name=blender>{{cite web |url=http://www.blender.com/guide/articles.aspx?ID=1777 |title=Michael Jackson, "Billy Jean" |month=OctoberOktoba | year=2005 |accessdate=April 11, Aprili 2007 |work=Blender}}</ref><ref name=NYTimes>{{cite news | title= Michael Jackson At 25: A Musical Phenomenon | date= JanuaryJanuari 1984 | publisher= ''The New York
Times'' | url= http://select.nytimes.com/gst/abstract.html?res=F40F10FB3A5C0C778DDDA80894DC484D81 | accessdate= May15 15,Mei 2007}}</ref> Jackson amebadilisha tasnia ya muziki jinsi ilivyokuwa ikifanyakazi: vyote akiwa kama msanii binafsi, na kifedha pia, na kifaida kwa ujumla. Mwanasheria wake Bw. John Branca amegundua ya kwamba Jackson amefanikiwa kupata uaminifu wa hali ya juu kwenye tasnia ya muziki kwa maana hiyo: imekadiriwa kuwa $2 kwa kila albamu moja aliyouza. Matokeo yake, Jackson amepata kuvunja-rekodi ya mauzo ya juu kwenye CD, na katika mauzo ya nakala za documentary, ''The Making of Michael Jackson's Thriller'', iliyotayarishwa na Jackson na [[John Landis]]. Documentary hiyo ili-lipiwa na MTV, imeuza nakala zaidi ya 350,000&nbsp;katika miezi yake michache ya mwanzoni. Sokoni halafu ikaja kuendeshwa na ma-single kadhaa, ''Thriller'' iliinua umakini wa maalbamu kadhaa, bado vibao vyake mbalimbali vilichukuliwa kutoka kwenye albamu na kujipatia mafanikio kede wa kede.<ref name=vh1>{{cite web |url=http://www.vh1.com/artists/az/jackson_michael/bio.jhtml |title=Michael Jackson |publisher=VH1 |year= 2007 |accessdate=February22 22,Februari 2007}}</ref>
 
=== Muziki wa video na usawa kirangi ===
Kabla ya mafanikio ya ''Thriller'', wengi walihisi kwamba Jackson ametaabika sana kupata kupigiwa nyimbo zake kwenye [[MTV]] kwa sababu alikuwa mtu mweusi.<ref name=autogenerated3>{{cite web |url=http://www.blender.com/guide/articles.aspx?ID=1777 |title=Michael Jackson, "Billy Jean: |accessdate=April11 11,Aprili 2007 |work=''Blender''}}</ref> Wakati anafanya juhudi za kupata kupigwa nyimbo za Jackson, Rais wa [[Columbia Records|CBS Records]] Bw. [[Walter Yetnikoff]] akawasukuma MTV ili wampigie nyimbo zake na kutangaza, "Sikupi tena video yoyote ile na naenda kusema mbele ya hadhara na kudadadeki zenu na kuwaambia ukweli kwamba hamtaki kupiga nyimbo za washikaji weusi".
 
Nafasi yake ikatoa msukumo kwa MTV kuanza kupiga wimbo wa "[[Billie Jean]]" na baadaye "[[Beat It]]", ambayo ilileta ujamaa na baadaye kusaidia wasanii wengine weusi wa muziki kupata ule mkondo wa kufahamika.<ref name="Jackson changes the rules of the music video">{{cite web |first=Edna |last=Gundersen |url=http://www.usatoday.com/life/television/news/2005-08-25-mtv_x.htm
|title=music videos changing places |publisher=''USA Today'' |date=August 25, Agosti 2005|accessdate=April6 6,Aprili 2008}}</ref> MTV wamekana madai hayo ya ubaguzi wa rangi katika urushaji wa matangazo yao.<ref>[http://findarticles.com/p/articles/mi_m1355/is_14_110/ai_n16807343/ Why it took MTV so long to play black music videos | Jet | Find Articles at BNET<!-- Bot generated title -->]</ref> Umaarufu wa video zake, kama vile "Beat It" na "Billie Jean", umesaidia idhaa ndogo-ndogo "kwenye ramani", na MTV wakazingatia kujikita katika pop na R&B.<ref name="Jackson changes the rules of the music video"/><ref name=ABCNews>{{cite web |url=http://abcnews.go.com/Entertainment/LegalCenter/story?id=464753&page=1|title=Why Are Michael Jackson's Fans So Devoted? |publisher=ABC News |date= February 23, Februari 2005 |accessdate=April6 6,Aprili 2007}}</ref>
[[Picha:Mjthriller.jpg‎|230px|thumb|left|Jackson katika mapinduzi ya video ya ''Thriller'']]
 
Jackson amebadilisha ukati wa [[muziki wa video]] kwa aina ya sanaa ya uendelezaji yakinifu kwa kuweka mstari wa hadithi tata, utaratibu wa kucheza, vionjo maalumu na kuuzisha sura watu maarufu katika video zake.<ref name=allmusic>{{cite web|last=Huey|first=Steve|title=Michael Jackson - Biography|url=http://www.allmusic.com/artist/michael-jackson-p4576 |publisher=Allmusic |accessdate=November11 11,Novemba 2006}}</ref> Wakati urefu wa dakika 14 za video ya ''[[Thriller (video)|Thriller]]'', MTV wanaipiga mara mbili kwa saa ili kufikia matakwa ya watazamaji.<ref name="tara 270–271">Taraborrelli, pp. 270–271</ref> Filamu fupi imewekewa alama ya ongezeka la uzani wa muziki wa video na ulikuwa umewekewa utaratibu wa kuitwa muziki bora wa video ambao haukuwahi kufanywa hapo awali.<ref name=autogenerated2>{{cite web |url=http://www.vh1.com/artists/az/jackson_michael/bio.jhtml |title=Michael Jackson |publisher=VH1 |accessdate=February22 22,Februari 2007}}</ref> Umaarufu kwa muziki wa video umerejesha albamu nyuma hadi kufikia kiwango cha kuwa namba moja kwenye chati, lakini studio ya Jackson haikuunga mkono toleo la tatu la wimbo wa video kutoka katika albamu. Walikuwa tayari weshalizika na mafanikio walioyapata, kwa hiyo Jackson akawashawishi MTV wamlipe kazi yake.<ref name="Thriller cast interview"/><ref name="tara 270–271"/>
 
Mtunzi wa vitabu, na mwandishi wa ukosoaji wa muziki [[Nelson George]] aliandika mwaka 2004, "Ni vugumu sana kusikia nyimbo kwenye ''Thriller'' na kuzitoa kwenye mavideo yake. Wengi wetu picha peke yake inaelezea wimbo. Kiukweli ingekuwa mabishano ya kwamba Michael ni msanii wa kwanza wa MTV kuwa picha kamili ya albamu yake yote na kuuteka fikra za watu kwa mtazamo wake". Filamu fupi kama ''Thriller'' inabaki kuwa kama mtindo pekee kwa Jackson, wakati mlolongo zima wa kikundi cha kucheza cha kwenye "Beat It" kimekuwa kikigezewa mara kwa mara na watu wengine.
 
Uchezaji wa muziki uliochezwa kwenye ''Thriller'' umekuwa utamaduni ambao mashuhuri sana ulimweunguni, umegezewa kila mahali huko [[India]] na katika majela kadhaa ya huko nchni [[Ufilipino]].<ref name="PrisonersDance">{{cite web |url=http://thewrongadvices.com/lazy-monkey/1500-prisoners-perform-thriller-dance/ |title=1500 Prisoners Perform Thriller Dance |publisher=The Wrong Advices |date=July 21, Julai 2007 |accessdate=April 5, Aprili 2008}}</ref><ref name="Thriller music video in bollywood">{{cite web |url=http://www.tmz.com/2006/10/03/jacko-goes-bollywood/ |title=Jacko goes bollywood |publisher=TMZ.com |date=October 3, Oktoba 2006 |accessdate=April 8, Aprili 2008}}</ref>
 
Kwa msanii ambaye ni mweusi kwa miaka ya 1980 kufikia kiwango hicho, mafanikio ya Jackson yalikuwa ya kipekee. Kwa mujibu wa ''The Washington Post'', ''Thriller'' imesafisha njia ya mafanikio kwa [[Waafrika-Waamerika]] wengine kama vile [[Prince]].<ref name=WashPost1>{{cite news | first= Richard | last= Harrington | title= Prince & Michael Jackson: Two Paths to the Top of Pop |date=OctoberOktoba 1988 | publisher= ''The Washington Post'' | url= http://pqasb.pqarchiver.com/washingtonpost/access/73636369.html?dids=73636369:73636369&FMT=ABS&FMTS=ABS:FT&date=Oct+9%2C+1988&author=Richard+Harrington&pub=The+Washington+Post+(pre-1997+Fulltext)&edition=&startpage=g.01&desc=Prince+%26+Michael+Jackson%3A+Two+Paths+to+the+Top+of+Pop | accessdate= May 21, Mei 2007}}</ref> Wimbo wa "The Girl Is Mine" ulipata kete nyingi kwa kupata wapenzi wengi wa rangi tofauti kupitia redio, yaani, Wazungu na Weusi.<ref name="Christgau Thriller review">{{cite web |first=Robert |last=Christgau |url=http://www.robertchristgau.com/get_artist.php?id=932
|title=Robert Christgau: Artist 932 |publisher=Robert Christgau.com |accessdate=June 27, Juni 2008}}</ref> Gazeti la ''Time'' lilieleza, "Jackson ni kitu kikubwa sana tangu hapo [[The Beatles]]. Yeye ni msanii pekee kwa upande wa wasanii wa kujitegemea tangu hapo alipokuwa [[Elvis Presley]]. Anaweza kuwa mwimbaji maarufu sana milele kwa upande wa waimbaji Weusi".
 
== Orodha ya nyimbo ==
Line 211 ⟶ 210:
* [[Nelson George|George, Nelson]] (2004). ''[[Michael Jackson: The Ultimate Collection]]'' booklet. [[Sony BMG]].
* {{cite book |last=Taraborrelli |first=J. Randy |authorlink=J. Randy Taraborrelli |title=The Magic and the Madness |year=2004 |publisher=Headline |location=Terra Alta, WV |isbn=0-330-42005-4}}
{{marejeoMarejeo}}
 
{{Michael Jackson}}