Pierce Brosnan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Minor fix using AWB
Mstari 5:
| tarehe ya kuzaliwa = {{birth date and age|1953|5|16|df=yes}}
| mahala pa kuzaliwa = [[Navan]], [[County Meath]], [[Ireland]]
| kazi yake = Mwigizaji, mtayarishaji
| tovuti = http://www.piercebrosnan.com/
| ndoa = [[Cassandra Harris]]<br /><small>(1977–1991) (kifo chake)</small><br />[[Keely Shaye Smith]]<br /><small>(2001–hadi leo)</small>
Mstari 11:
}}
 
'''Pierce Brendan Brosnan''' (amezaliwa tar. [[16 Mei]], [[1953]], [[Drogheda]], [[Ireland]]) ni mwigizaji [[filamu]] na [[Mtayarishaji|mtaarishaji]] wa [[Ireland|Kiireland]]-[[Marekani]]. Labda anafahamika zaidi kwa kuigiza kama '[[James Bond]]' katika [[filamu]] nne alizocheza kuanzia mwaka [[1995]] hadi [[2002]], ambazo ni
''GoldenEye'', ''Tomorrow Never Dies'', ''The World Is Not Enough'' na ''Die Another Day''.
Tangu atumie jina James bond Brosnan, pia amecheza [[filamu]] zingine tofauti ikiwemo ile ya "Evelyn" na "Seraphim Falls".
Mstari 40:
Mwaka [[2001]] Brosnan akamuoa [[Mwandishi]] wa [[habari]] wa ki[[marekani]] [[Keely Shaye Smith]], Wamezaa watoto wawili wa Kiume Mmoja Dylan Thomas (Aliz. [[1997]]) na mwingine Paris Beckett (Aliz. [[2001]]).
 
Tarehe [[23 Septemba]], [[2004]], Brosnan amekuwa raia wa [[marekani]], na kwa sasa anaishi mjini [[Malibu]], [[California]] na ana nyumba mjini [[Hawaii]] na Kaskazini mwa [[Dublin]] nchini [[Uingereza]].
 
== Filamu alizoigiza ==
Mstari 89:
 
== Marejeo ya nje ==
{{commonsCommons|Pierce Brosnan}}
 
== Viungo vya nje ==