Mitara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3rc2) (Roboti: Imeongeza ko:복혼
Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Toba chieftain 1892.jpg|thumb|right|300px|Kiongozi wa [[kabila]] la [[Toba (kabila)|Toba]] na wake zake, [[1892]].]]
'''Mitara''' (au '''Upoli''' au '''Upali''') ni hali ya watu zaidi ya wawili kuishi katika uhusiano wa kindoa.
 
Hali hiyo ilikuwa ya kawaida barani [[Afrika]], ambapo [[mwanamume]] mmoja aliweza kuwa na [[wanawake]] zaidi ya mmoja, lakini kwa sasa inazidi kupungua.
Mstari 8:
Baadhi ya nchi zinakubali hali hiyo, lakini nyingi zinaikataza.
 
Vilevile baadhi ya [[dini]] zinakubali mitara, hususan [[Uislamu]], lakini nyingine zinaikataza, hususan [[Ukristo]].
 
Katika [[Biblia]] tunakuta maendeleo ya [[ufunuo]] kuhusu hali hiyo kati ya [[Agano la Kale]] na [[Agano Jipya]].
 
Katika [[Biblia]] tunakuta maendeleo ya [[ufunuo]] kuhusu hali hiyo kati ya [[Agano la Kale]] na [[Agano Jipya]].
 
== Marejeo ==
* {{cite book |author= Cairncross, John |title= After Polygamy Was Made a Sin: The Social History of Christian Polygamy |location= London | publisher=Routledge & Kegan Paul |year= 1974 |url= http://www.patriarchpublishinghouse.com/3345.htm }}
* {{Cite book |author= Campbell, James |title= The History and Philosophy of Marriage |publisher= First published in Boston |year= 1869 |accessdate= August 5, Agosti 2005 }}
* {{cite book |author= Chapman, Samuel A. |title= Polygamy, Bigamy and Human Rights Law |publisher= Xlibris Corp |year= 2001 |isbn= 1-4010-1244-2 }}
* {{cite book |author= Hillman, Eugene |title= Polygamy Reconsidered: African Plural Marriage and the Christian Churches |location= New York |publisher= Orbis Books |isbn= 0-88344-391-0 |year= 1975 }}
Line 32 ⟶ 31:
* [http://www.life.com/image/first/in-gallery/49551/rare-life-with-polygamists-1944 LIFE With Polygamists, 1944] - slideshow by ''[[Life magazine]]''
 
{{mbeguMbegu}}
 
[[Jamii:Jinsia]]